Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Hiyo ndoa imeshajifia inatembelea ringiBinadam banaz Et nmekua Mke Bora sana kwake !!.
Sikia nikuambie Bob, Sisi wanaumez tukishajua tumesalitiwa, HUWA HATURUDISHI IMANI TENA !! .
yaan wiki Moja tu tayari ukaona umebanwa? Je ungekaa mwezi ?.
anakufatilia miezi minne, humtaki, ulishindwa kumshirikisha Mumeo?.
anakuita home, hukujua unaenda kuliwa??.
kwakua ,Mumeo alikupenda sana na umekiri alikua mwema Kwa Kila jambo, Basi binafsi nikutakie tu Ndoa ivunjike na kama haitovunjika, basi iwe ivoivo ya karaha siku zote za Maisha yako!!.
Yani unatembea na mke wa mtu?Nina mchepuko mke wa mtu Ni mwanamke mzuri mno
Usijaribu atakupa sumu akuueMwanaume umesalitiwa. Usimfukuze mke. Mwambie aitishe kikao cha wazazi pande zote ili akuombe radhi.
Atakuwa ametia ushahidi.
Baada ya hapo tafuta kimada cha kula papuchi tu. Umaweza kulala nje ya nyumba au kuingiza kwenye chumba kingine ndani ya nyumba hiyohiyo, na hakikisha anajua kuwa ubachepuka.
Endelea na maisha. Akiona panauma aondoke mwenyewe. Au akukatie talaka.
Wanawake wengi wasivyo na haya wataanza kudai mali nusu kwa nusu... ndiyo kwenye kuwekeana sumu hapoMwanamke aki-cheat usimdhuru kimwili wala kumsamehe, mpe talaka yake. Mtawaathiri zaidi watoto mkiendelea kuishi pamoja.
Ni kweli,ila watoto...!πYani huyo Mumeo ni kiazi,umemchit halafu bado for 3 yrs bado anakulala khaa mie siwezi.
Yani siku hiyo hiyo kila MTU anachukua 50 zake.
Uandishi wa darasa la tatu huu!.Alafu si huainasemekana hamnaga N**g sana kama wanaume mnaweza kuvumilia Kwa muda mrefu
Boss Boko haram, unawashaurije sasa wale wanaokula wake za watu "kimasikhara" ππKiufupi watu wanamshauri uhalisia bila kufichaa.. Unasikia Mwanamke kauliwaa.. juzi tu arusha mwanamke kangolewa jicho na meno mwanaume hajamuongelesha chochote kafika na kuanza kumzibuaaa! Haya yote ni ukweli kuwa mwanaume hawezi KUVUMILIA USALITII HAWEZIIII. either ajidhuru yeye au amdhuru huyo mwanamke so usalama hapa MWANAMKE AKUBALI KUACHIKA BHASI.
Hao waendelee tuu ilaa Mapangaa yatawahusuuu...[emoji1787][emoji1787]Boss Boko haram, unawashaurije sasa wale wanaokula wake za watu "kimasikhara" [emoji16][emoji16]
Nikupe ushauri mgumu lakini inahitaji uwe na moyo kweli kweli kama bado unapenda uendelee kuwa na huyo mme wako.....ni hivi kwasababu unajua mme wako anapenda sample zipi tafuta mdada pini, mpange ikiwezekana mlipe vizuri mkubaliane atembee na mume wako, tengeneza mazingira uwafumanie au agundue kuwa unajua anacheat, jifanye umemind sana, na mlaumu kwamba amekucheat kwasababu analipizia, kama atashuka na kukuomba msamaha mpe muda alafu msamehe kwa masharti kwamba msije mkarudia tena makosa mliyofanya, hapo mchezo utakuwa umeisha bila bila na maisha yatarudi kama kawaida, angalizo, angalia tu asije kunogewa kwa huyo mdada na akakukimbia mazima so mpange vizuri sana huyo dada.Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.
Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.
Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa furaha na visuprise kibao, na zawaidi sana tuu.
Nakili kwa kusema mume wangu alinipenda sana, kuna kipindi alininunulia gari la Toyota vixz ni kadogo hivi.
Na alikuwa ananijazia mafuta full mimi ni kujimwaga na watoto wangu mpaka basi. Alikuwa ni mtu wa kunifanyia surprise mpaka basi, na nakili katika siku zote hizo mume wangu sijawahi hisi anafanya lolote lile baya kwangu. Alikuwa ni mume mzuri na baba mzuri tuu.
Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja nilizoeana nae kama mfanya kazi mwezangu tuu, lakini akaanza kunitongoza ,mimi nikamwambia kuwa ni mke wa mtu nina ndoa yangu ila yeye hakujali, na wakati wote huwo sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja.
Alinishawishi sana mpaka nikawa naona kelo, nikawa simjibu lolote alinisumbua kama 4 months hivi. Sasa siku moja aliniazima laptop yangu achukue movie, mimi napenda sana movie so nadownload kwenye pc yangu. Lkn alienda nayo nyumbani kwake.
Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.
Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.
Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.
Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.
Nilishituka nikaamua kumwambia mume wangu ananitafuta si unaona akajibu ka mwambie tuu ulikuwa kwenye kikao.
Akaniambia oga kwanza ndo uwende home mimi nikaamua kuoga pale nimemaliza kuoga na chukua nguo kuvaa nakuta sketi na chup* yangu imeloa nikaja kujua kuwa ni uteute wa uk* maana alinishika shika na sehemu za nje ya uk* wangu na kuniingiza vidogo.
So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.
Nilijuta sana usiku ule na mda ulikuwa ni kama saa 3 kasoro hivi ndo natoka pale nikamtumia sms nakuja mume wangu akanijibu sawa.
Nafika home nikakuta geti limefugwa nikashuka kwenye gari najaribu kufungua limefugwa nampigia njoo ufungue geti haongei na anakata simu, kwenye gari nilikuwa na kanga so nikachukua kanga nikajifunika ili my hubby asione sketi iliyolowa kwa nyuma.
Siku ile nilikaa nje mpaka saa 6 ndo akaja kunifungulia geti, akaniambia alikuwa anasubiri watoto walale kwanza.
Sasa kwa mshituko nilibaki natetemeka sana naingia ndani sina ujasili kabisa akaniuliza ulikuwa wapi , mimi nikamjibu tulikuwa kwenye kikao ila sorry kipenzi sikukuambia , akaniuliza tena ulikuwa wapi na kikao kilifanyika wapi mimi si nikamwambia ofisini.
Kumbe yeye alikuja ofisi saa 12 jioni. Akakuta ofisi imefungwa, mume wangu ajawahi kunizaba kibao alinipiga kibao kimoja kikali sana.
Nilipiga kelele Sasa ile nainuka kanga si ikanivuka, mume wangu akaniona nyuma nimelowa.
Alinishika na mimi nilikuwa sitaki anikague ila kwa vile yeye ni mwanaume alinishida nguvu, na kufanikiwa kuniangali na akajua kuwa nimemcheat.
Akaniacha mimi kwenda chumbani nimerudi sebuleni nimechukua simu yangu sms imeingia ya jamaa yule ananiuliz mume wako kakuzingua na samahani sana kwa haliyotokea.
Ile sijamaliza naendela kuperuzi akanipokonya simu na kosoma sms nyingi , kisha akasibitisha kuwa nimemcheat.
Alinifukuza nje na siku ile nilikaa nje ya nyumba mpaka asubui.
Nilijitahidi kumwamba msamaha ilishindikana nikaenda kwa rafiki mmoja ni mama mtu mzima nikamueleza basi akaamua kwenda kwa mume wangu kuongea nae ila ilishindikana. Nakumbuka ofisini sikwenda kama 2 weeks hivi.
Mume wangu si akafikisha mpaka kanisani kuwa anataka kuvunja ndoa niliitwa na watumishi na na kujaribu kuweka sawa ila aliendeleza na nia ya kuniacha na yeye alidai kapata maumivu makali kwa sababu hajawahi kunicheat.
Ugomvi ulifika mpaka kwa wazazi wetu wote wawili, ofisini kwa kipindi kile nikawa naenda siku moja moja huku nalia kila siku, yule mwanaume aliniuliza nikamwambia ndoa yangu imeingia Dosali aliniomba msahama tuu.
Ugomvi uliendela kama miezi 8 hivi, yeye aliendeleza msimamo wake hule hule.
Nilimuomba msahama sana na nikamuahidi sitarudia tena. Na nilijuta sana.
Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.
Na yeye akasema kuwa kazini ndo kulimpelekea yote hayo. Mwishowe tulikubaliana mimi niache kazi na kuwa mama wa nyumbani. Nilikubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani kazi ya 550,000 kwa mwezi niliiacha.
Baada ya hio kesi mume wangu alibadilika sana home , alinichukua gari, kutola out kuliisha , surprise na vizawadi vingi vilipotea , na hakuwa mtu wa furaha tena tangu siku ile.
Mpaka leo ni kitu najuitia sana kwa kile kulitokea na hata yule jamaa nilimwambia naacha kazi kwa sababu ya ndoa yangu kwa tukio lile. Aliniomba tuu msamaha.
Nilijaribu kumshawishi mume wangu ili arudi kwa aliyake ya kawaida ila nilishidwa , niliamua kuwa mke bora kwake , kuangaika kumfurahisha ila ilishindika. Hata Sasa kwenye yendo simuoni kama anaenjoy kama hapo mwanzo maana tukiwa kwenye tendo mume wangu alikuwa ni mtu wa kunifurahia sana mpaka kuna kipindi machozi yanamtoka kwa furaha ya tendo. Ila kwa sasa hakuna kabisa.
Sasa wanawake wenzangu ni ishu imetokea 3.5 years ago na imeniathili sana tena sana.
NAOMBENI USHAURI JAMANI NIMRUDISHE MUME WANGU HUYU.
NIMEJUTA SANA KWA LILE. USHAURI TAFADHARI.
Na mara nyingi watoto wa hivi ndoa zao huja kuwa na matatizo lukuki. Hizi ndoa hugeuka viwanda vya uchungu kwa watoto.Kuna ndoa zilishajifia ila wamebaki kulea watoto tu
Mali hutafutwa mkuu.Wanawake wengi wasivyo na haya wataanza kudai mali nusu kwa nusu... ndiyo kwenye kuwekeana sumu hapo
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Umewapa uwanja wajikaange wenyewe. Bro mbinguni utapasikia tu πππHao waendelee tuu ilaa Mapangaa yatawahusuuu...[emoji1787][emoji1787]
Huna Mme hapa una roboti,Mwaname halisi hawezi kukulala akijua umechepuka labda awe ameruka akili.Baadhi ya watu wananiambia hivyo.
Akati Niko shule miaka hiyo Kuna jamaa alikuwa anaimba music ,ni msanii wa mbele, alikuwa anasema hivi,. ;there is no excuse my friend,for breaking my heart x2,,,,mi nilielewaga hapohapo tuu,Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.