Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Maisha hayaendi hivyo ndugu.
Maisha yanaendaje sasa? Maana nikisema humu mwanaume mkeo akitombwer chukulia poa mnasema mzabzab hujaoa ndio maana.
Nikisema haya mkekaggehedwa basi achane i kila mtu akaganye yake mnasema hayo sio maisha.
So maisha ni kuishi kwa mashaka mashaka juu ya mwenza wako ukubhuna furaha?
 
Sijui Ni Utoto Unakusumbua au Uzee Unabisha Hodi Au Busara Huna Au Ushaumizwa Sasa Hv unaona Kawaida tu.
 
Generally nyie wanawake ni dhaifu sana( japo sio wote) Always hamjui kitu mnachokitaka in life, japo umejutia kosa lako.
Yani wiki moja tu inakushinda kuvumilia? Hivi mtu usiyempenda unawezaje kuwa wett akikushika? Yani unawekewa mtego rahisi na unajaa 100?
Watu wanaenda kozi miezi 3 msituni , unarudi mke yupo ngangari kinyama, watu wanaenda OP Darfur huko, mke anabaki meizi kibao hapigwi dushe ( japo wengine wana cheat)

Anyway wa kulaumiwa ni huyo dogo , hakika jamaa angedeal na huyo mpuuzi wa kazini kwenu kwanza.
 
Nikikusikiliza utanipeleka unakotaka wewe. Nayaishi maamuzi yangu siyo ya kuambiwa.
 
Thanks dear.
Naumia sana kwani naamini still ana maumivu sana my hubby.
Naitaji awe mtu wa furaha kama mwanzo please wanawake wenzangu naombeni ushauri.
Ni ngumu cute,bila kuremba huo ndo uhalisia....kikubwa tulia tu endelea kumweshimu na kujishusha sikuzote.....afu acha kumsifu Kwa bed maana utamwongezea hasira atakuona mnafki
 
Sijui Ni Utoto Unakusumbua au Uzee Unabisha Hodi Au Busara Huna Au Ushaumizwa Sasa Hv unaona Kawaida tu.
All of the above.
Ila kweli evu tutumie logic kidogo. Mke wako umemuoa ambaye wewe umemkuta tayari ameshaonja mboo kama kumi hivi. Wee mwenye kabla ya kumuoa umemgegeda wee ndio ukaamua kumuoa. Je kweli ni kweli kwamba katika miaka yote mtakayoisbi kwenye ndoa hatachepuka? Tuwe wakweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakujibu nimefundishwa staili ya amba rutiii ....
 
Kwani dogo kafanya kosa gani tena? Hapa wakudeal nae ni mke tuu
 
Badala nikupe ushauri nimejikuta naangalia ulivyoandika kwa kukosea makusudi kila baada ya sentensi moja,nikawa nacheka tu.Na ajabu yake,sentensi/maneno ya kiingereza haukosei.
NB:Acha kutuchezea akili kama ulivyochezewa.Kama ni kweli.
 
Mbwa ukimpiga na baada ya muda ukamrushia mfupa atasahau kuwa ulimpiga, ila binadamu ukimtendea jambo la mauzi hata ukimwomba msamaha kamwe hatokaa akuamini tena.. Binadamu atakusamehe ila hatosahau na kikubwa ni kuishi huku ukijua kuwa hakuamini na haitotoke akuamini tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…