Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Mshikaji yeye aliamua kutokumgusa mkewe kabisa baada ya kumfumania huu ni mwaka wa 8 . Anahudumia watoto tu natoka out na watoto anatembea nao popote lakin nyumban mkewe kila mtu chumba chake.
Aaaaa is that true?
Mkewe anahari gani sasa
 
Kuondoka siwezi
 
Naona unamiaka 50 now, vipi unaendlea kucheat still?
 
Mimi ilikuwa ni mara moja tuu sijawahi kumcheat kabisa.
 
Tangu tuyamalize na wazazi , huwa anavaa condom sasa ni 3 years anavaa condom, nimeshidwa kumshawishi asiwe anavaa.
Dah!, Jamaa yuko vizuri sana kwenye psychological torture [emoji119], we jishushe ivoivo nae ni binadamu tenda wema Kuna siku atarudi nyuma na kuondoa icho kinyongo maana Kwa jinsi unavyoumia na yeye anaumia ivoivo
 
Jamaa alichukua uhamuzi gani alivyoona,
Na mkeo pia
 
We kweli ni mjukuu wa Firauun

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
 
Tatizo si kuchepuka. Tatizo ni mwenzako kujua.
Sasa ni kosa kubwa kukiri kosa. Madhara yake ni irreperable
 
Okoka mama na umshike Mungu kikweli kweli.
 
Acha akome, na usimrudie mpumbavu huyo, hawa wanawake wa sasa ni tatizo sana, tuko mjini tunawajua tabia zao za sasa, yaani mwanamke wa sasa akikwambia anakupenda ni kama anakufatiji tu, yanalala na wanaume chungu mzima kila uchao, sasa likikwambia linakupenda si niliongo tu hilo? Yaani sijui Dunia ya sasa ikoje kwa hawa wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…