Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Weee noma
 
Ongeza kuchepuka hadi afe
 
Hakuna... kamwe usigombane na mwanaume mwenzio kisa mwanamke wako. Mwanamke akikuheshimu haguswi sehemu. Mwanamke asiedada yako ukimuita getto tena anajua umeshawahi kumtaka anajua kabisa anakuja kuliwa. Wanawake sio watoto wala wajinga bro..

Hawajui wanachotaka ila wanajua wanachofanya.
 
Yaani 1989 una miaka 16 halafu 2023 upo kwenye 30s hizo hesabu sio za miaka hii.
 
kwa mwendo huu wanaume acha wajirushe maghorofani wanwang'oe meno kwa plaizi
 
kwa mwendo huu wanaume acha wajirushe maghorofani wanwang'oe meno kwa plaizi
 
Pole sana dada kwa maswahibu yaliyokukuta. Ila kiukweli wanawake wengi hsn huwa wanachepuka. Shida kubwa tuliyonayo wanaume ni kusamehe ni ngumu sana. Kugongewa kunauma sana. Vumilia tu atabadilika mwenyewe akipenda.
 
Thanks dear.
Naumia sana kwani naamini still ana maumivu sana my hubby.
Naitaji awe mtu wa furaha kama mwanzo please wanawake wenzangu naombeni ushauri.
Pole sana najua wote wawili mnapitia kwenye maumivu makubwa sana.Cha muhimu endelea kuwa mke mwema ,mwombe sana MUNGU akurudishie mtu wako wa mwanzo ,fanya sala ya toba.Changua mistari ya kusimamia ya kwenye biblia hakuna kisicho wezekana kwa Mungu.Usijiweke myonge,jipende ili Mungu akupende yametokea ni funzo kwako na umesema umemwomba msamaha,Endelea kujifariji wewe mwenyewe na kila ukiamka na kulala ungea kitu na Mungu wako ndani ya nafsi yako.Hayajawahi kunikuta kwa kuwa siku niliapa kuwa naye nilimwomba sana Mungu nisipate vishawishi vya aina yoyote kwa kuwa nimeapa mwenyewe mbele ya madhabahu.Kiapo cha ndoa ni kigumu sana kwenye ulimwengu wa roho kwa kuwa once umeenda kinyume lazima upate kichapo cha hich kiapo.Wanaume na wanawake kama hauko tayari kuilinda ndoa(kiapo) chako kwa nguvu zote ,usioe kwa kiapo kwani ni agano.Anyway ni wewe na mtu wako na Mungu ndio pekee mnaweza kurudisha hali ya zamani.
 
Mwanaume akithibitisha umeliwa hatokupenda mpaka qnaona kaburi
 
Haya kamanda ongeza sauti tukusikie
 
Haya maneno unayasema kwasbb hujaolewa, lkn ukishaolewa mumeo atakukinai mpk unaweza kuchepuka na mkata nyasi za kulisha ng'ombe.

Mtu yule yule, kibamia kile kile na staili ile ile mwaka nenda mwaka rudi inakera asikwambie mtu. Utachepuka tu.
Utazunguka mabucha yote ila nyama ni ile ile
 
Utazunguka mabucha yote ila nyama ni ile ile
Siyo kweli ndugu.

Wanawake vijungu vyao vinatofautiana sana. Kuna vipana, vyenye kina kifupi, vyenye kina kirefu, vyenye maji na vikavu.

Kwa wanaume virungu vyao vunatofautiana pia. Kuna vilivyojikunja kwa mbele ama kwa juu, vipo vifupi na virefu, vipo vyembamba na vipo vinene.

Utofauti huu ndiyo huleta utofauti hata kwenye utamu.

Tafuta raha hata kwa karaha.
 
Punguza kukitembeza, utofauti upo kwenye mwonekano wa nje tu ila huko ndani ni vile vile tu hakuna jipya. Ni kucheza na hisia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…