Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Kweli kabisa
 
Kazi kweli kweli. Vumilia atapona ila hatasahau
 
ondoka uanze upya......maisha ya mashaka sio matamu kabisa hasa kwenye MAHUSIANO......yaani mme ni kama anakupigia PUNYETO.........omba talaka usonge mbele......utakufa na HUBA ulilolipindisha bibie.....hata kwa mwashi halinyooki hilo...
 
Mkeo alifanyaje ulipojua kuwa amekusaliti karibu dear nipate experience, kama itakuwa shida njoo hata pm tuzungumze nipate kujifunza dear.
Natamani sana tuwe kama mwanzo.
Nisaidie friend. Please hata pm sawa
unatafuta balaa lingine
 
Nimekupendea eneo 1 tu kukubali na kuwa muwazi kwa uliyofanya,lakini nmekuchukia eneo 1 tena

kutudanganya eti ulifata laptop wakat ukweli ni ulikua na hamu,OK fine binafsi nimekusamehe na nmekuelewa

msamaha wangu sio wa mume wako,una kipengele kwa mumeo,Acha tu nikwambie mama utatumikia hiyo Adhabu

milele kama utaendelea ishi na huyo mwanaume wako. Unajua chakufanya nini ili uwe na amani tena na furaha tena?

Muite mumeo kwa mara nyingine,Muombe msamaha tena,baada ya Hapo mwambie unaomba Muachane yani "mtengane" kwa amani kabisa.

Mueleze kuwa huna amani tena kwa namna mnaishi,ni heri ujue 1 umempoteza kabisa,Baada ya hapo akikubali mtengane FRESH akikataaa Fahamu bado unapendwa na BEHAVE.

Tuna cheat wote ila wewe ume cheat kizembe sana,wanawake mkiwa na hamu kubalini kujiachia TOA vitu mwili uwe mwepesi rudi nyumbani,TULIA.

ona sasa umejibana bana kumbe unaendelea kutotesha sketi na kyupi,kizibiti ubaoni asee umezingua...NDOA ngumu sana,Tutafuteni hela tu ila NDOA ni jela.
 
Kumbe ndoa ni jela eh

Basi mimi sitaingia huko. Sitaki kua jela mimi[emoji4]

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Hakunaga kutengana kwa amani,akubali na amuache akaenjoy na alitumia vya kwake siku zote na amemdharau,atakubali lakini kama ni mwanaume wa kweli na katili,atamuacha mwaka,au miezi kuna siku ataenda akammalize mbaya kabisa bila ushahidi
 
Ndoa ni upumbavu.
 
Soon Mungu atakuumbua.
 
Booster tena 😳😳 oya mabroo njooni huku kwa Mama Edina anaongea na nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…