Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Hilo ni jeraha la ndani huwez mponya Kwa vitu vya nje. Kila dhambi Ina gharama yake ya kulipa.
Jipangie ratiba, ya kuomba na kufunga kumuombea Mungu amponye huo Moyo ili akae sawa.
Tena sio tu kumuombea akae sawa, uombe Toba Kwa Mungu Kwa kuruhusu uovu ukapita hapo, na umebomoa nyumba yako Kwa mikono yako, hakikisha unaomba Toba vizuri,

Cz wewe umesababisha wewe usimtafute shetan hapo,

Sijui Mungu atakujibu lini, ila atakujibu, hiyo iwe ni agenda yako ya maombi Hadi uone matokeo Kwa Macho.

Usikemee shetan na tayar ulimpa uhalali wa kuingia ktk ndoa. Omba Toba Ili Mungu akusaidie.

Sababu unaweza fanya yote, moyo wa binadamu kaumba Mungu, na yeye ndiye anaweza kuufinyanga tena. Huwez mbadilisha Kwa akil zako huyo mumeo.

Usitegemee uombe siku Moja ukaacha, ugonjwa unaingia Mara moja lakini dawa inafany kazi Kwa siku kadhaa, inategemea na aina ya ugo
Kweli kabisa
 
ondoka uanze upya......maisha ya mashaka sio matamu kabisa hasa kwenye MAHUSIANO......yaani mme ni kama anakupigia PUNYETO.........omba talaka usonge mbele......utakufa na HUBA ulilolipindisha bibie.....hata kwa mwashi halinyooki hilo...
 
Mkeo alifanyaje ulipojua kuwa amekusaliti karibu dear nipate experience, kama itakuwa shida njoo hata pm tuzungumze nipate kujifunza dear.
Natamani sana tuwe kama mwanzo.
Nisaidie friend. Please hata pm sawa
unatafuta balaa lingine
 
Nimekupendea eneo 1 tu kukubali na kuwa muwazi kwa uliyofanya,lakini nmekuchukia eneo 1 tena

kutudanganya eti ulifata laptop wakat ukweli ni ulikua na hamu,OK fine binafsi nimekusamehe na nmekuelewa

msamaha wangu sio wa mume wako,una kipengele kwa mumeo,Acha tu nikwambie mama utatumikia hiyo Adhabu

milele kama utaendelea ishi na huyo mwanaume wako. Unajua chakufanya nini ili uwe na amani tena na furaha tena?

Muite mumeo kwa mara nyingine,Muombe msamaha tena,baada ya Hapo mwambie unaomba Muachane yani "mtengane" kwa amani kabisa.

Mueleze kuwa huna amani tena kwa namna mnaishi,ni heri ujue 1 umempoteza kabisa,Baada ya hapo akikubali mtengane FRESH akikataaa Fahamu bado unapendwa na BEHAVE.

Tuna cheat wote ila wewe ume cheat kizembe sana,wanawake mkiwa na hamu kubalini kujiachia TOA vitu mwili uwe mwepesi rudi nyumbani,TULIA.

ona sasa umejibana bana kumbe unaendelea kutotesha sketi na kyupi,kizibiti ubaoni asee umezingua...NDOA ngumu sana,Tutafuteni hela tu ila NDOA ni jela.
 
Kumbe ndoa ni jela eh

Basi mimi sitaingia huko. Sitaki kua jela mimi[emoji4]

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Nimekupendea eneo 1 tu kukubali na kuwa muwazi kwa uliyofanya,lakini nmekuchukia eneo 1 tena

kutudanganya eti ulifata laptop wakat ukweli ni ulikua na hamu,OK fine binafsi nimekusamehe na nmekuelewa

msamaha wangu sio wa mume wako,una kipengele kwa mumeo,Acha tu nikwambie mama utatumikia hiyo Adhabu

milele kama utaendelea ishi na huyo mwanaume wako. Unajua chakufanya nini ili uwe na amani tena na furaha tena?

Muite mumeo kwa mara nyingine,Muombe msamaha tena,baada ya Hapo mwambie unaomba Muachane yani "mtengane" kwa amani kabisa.

Mueleze kuwa huna amani tena kwa namna mnaishi,ni heri ujue 1 umempoteza kabisa,Baada ya hapo akikubali mtengane FRESH akikataaa Fahamu bado unapendwa na BEHAVE.

Tuna cheat wote ila wewe ume cheat kizembe sana,wanawake mkiwa na hamu kubalini kujiachia TOA vitu mwili uwe mwepesi rudi nyumbani,TULIA.

ona sasa umejibana bana kumbe unaendelea kutotesha sketi na kyupi,kizibiti ubaoni asee umezingua...NDOA ngumu sana,Tutafuteni hela tu ila NDOA ni jela.
Hakunaga kutengana kwa amani,akubali na amuache akaenjoy na alitumia vya kwake siku zote na amemdharau,atakubali lakini kama ni mwanaume wa kweli na katili,atamuacha mwaka,au miezi kuna siku ataenda akammalize mbaya kabisa bila ushahidi
 
Kiufupi mpenzi, hata wanaume wa humu jf unawaona wanavyokereka.?

Mwanaume ni katili linapokuja swala la kuthibitisha umeshiriki tendo la ndoa yenu na mwaname mwingine.

Mwanaume anahisi umemdharau na hatakusamehe asilani.

Ukweli ni kwamba hutaweza kumrejesha kama zamani. Zaidi na zaidi tulia, mleleee watoto wake kuwa mtumwa wake, labda anaweza kukupa nafasi nyingine lakini sio Ile ya mke wake tena. Anatakutaka akugeuze 0656...usikubali... Chukua maneno yangu ya Bure.

Mzalie watoto kama Bado anapenda, jiongeze zaidi ya ulivyokuwa hapo awali.

Maadam anakula chakula unachopika, anakuingizia dudulenu, anavaa ukimfulia, anawalipia wanao ada, anatoa mahitaji, anaitikia salamu yako.

Mpikie chakula kitamu Sana.
Mvalishe apendeze.
Mfanye sehemu ya watoto wako.
Bajeti vzr uwe muaminifu.
Tena Anza kumuita baba badala ya mume wangu.

Kukusamehe ataamua mwenyewe.
Hats hivyo hapo amekusamehe pakubwa tu shukuru mungu.

Mwanamke mwenzangu nikuambie ukijaribu kufanya tofauti atakuua, ikiwa utashindwa kuwa royal kama livyosema Kim Jong Jr Bora uondoke.

Mimi Nina watoto 3 nimecheat sana lkn Kwa tahadhari kubwa, Hawa wanaume hawana nguvu nyingi kwamba nitatosheka,

Mume wangu ana sukar.
Alinioa mwaka 89, ndoa Ina mida mrefu nilikiwa na Miata 16, akanikubalia nianze form one, nikasoma nikiwa kabinti evening prgrm nikawa attached na shule moja nikamaaliza form four vzr, hapo nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 18. Alikuwa analipa tendo miaka yote....

Ktk umri wa miaka 17 nilicheat nikiwa mdgo wkt huo. Wkt huo hata sijui madhara yake, nikaendelea na maisha, tukaendelea kupata watoto, nikaingia form five na six nilipata division nzr TU ONE POINT 14. na A- level One Point 5 NIKAINGIA UDSM.

To paraphrase story.
Kuna jamaa nilimpenda Sana na alinipenda pia. Tukiwa chuo kikuu, mume hakuisha kija chuo. Bahat nzr sikuwa nakaa Santa chuo, weekends narudi Kwa wanangu.

Huyu jamaa anawivu kuliko wanaume wote duniani. Kina kipndi anachumua simu yangu anaenda nayo kazini , namwambia mchepuko kuwa jamaa anamebeba Simu ...

Emergine mmi graduate mume la 7. Lkn amekaba Kona. Sasa yeye katika utu uzima huu yeye ana 60 kasoro Mimi bado ndio nipo 30's ngono kuacha ni ngumu. Mwanangu mmoja mweupe wengine chocolate color. Najua kabisa huyu sio wake. Nikiruka name NAE nje nikaruka Kwa hiyo Kuna mulato aka Africast hapa.

Kwa Sasa dushe imelala Hadi niipige booster.

Wanaume wajue kwenye ndoa Kuna menginyamejificha
Ndoa ni upumbavu.
 
Soon Mungu atakuumbua.
 
Booster tena 😳😳 oya mabroo njooni huku kwa Mama Edina anaongea na nyie
 
Back
Top Bottom