Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Mwanamke ambaye anaheshimu ndoa, na ambaye anajua jinsi maisha ya wanawake mtaani yalivyo magumu hawezi kuchepuka

Ikumbukwe ya kwamba hata kama hatupitishi uhalali wa mwanaume kuoa wanawake wengi lakini bado ndiyo namna inayoonekana toka enzi za manabii kwamba mwanaume pekee alitokea kuoa wanawake zaidi ya mmoja, mpaka hata leo kitu hicho kipo, na hakuna mwanamke akawa na wanaume zaidi ya mmoja na akawa salama
 
Maumivu ya kuchapiwa ni makali sana hata hivyo kama jamaa kasusa sie wengine tutakukula njoo pm tuyajenge.
 
Mkeo alifanyaje ulipojua kuwa amekusaliti karibu dear nipate experience, kama itakuwa shida njoo hata pm tuzungumze nipate kujifunza dear.
Natamani sana tuwe kama mwanzo.
Nisaidie friend. Please hata pm sawa
Habari dada! Pole Sana kwakuwa muhanga wa mpango wa shetani.kama hutojali tafadhali nitafute kwenye namba hii tuzungumze! 0679996075.amin kuwa kwa Mungu hakuna kosa lisilosameheka kipenz.nakutakia amani ya Muumba wako moyoni mwako
 
Wewe sikia kuolewa ni hiyari
Omba lisikukute kama halijakutokea. Hata iwe asilimia ndogo,ila ipo ya wanawake wanaoingia kwenye 18 za wanaume wakati mwingine hawajawahi hata kuwafikilia. Analiwa,analia,anarudi zake home anaugulia maumivu na inabaki siri yake. Hili kundi nalo lipo usilisahau.
 
Hapana aisee
 
Mwanamke akiileta mwenyewe ametaka kinyume na hapo amebakwa. Hakuna zaidi ya hapo boss.
 

Yaan hata kuandika hujui, ile unaandika hile, kama hukudhamiria kutoka nje ya ndoa ungekaza, yaani wiki tu hivyo akisafiri miezi ama akilazwa mwaka

Umalaya tu……
 
Mwanamke akiileta mwenyewe ametaka kinyume na hapo amebakwa. Hakuna zaidi ya hapo boss.
Kwa hiyo angeacha laptop? Sema tu baada ya kutekenywa wazimu wakapanda,lakini hakwenda kutoa bhana
 
Kwa hiyo angeacha laptop? Sema tu baada ya kutekenywa wazimu wakapanda,lakini hakwenda kutoa bhana
Wanawake wazinzi wake za watu wanapenda hivyo, ujiongeze asionekane alitaka umwingilie. Jamaa akajiongeza na laptop.
Huyo mwanamke alijua kuwa kuna siku atampa ndo maana hiyo nafasi ya kuzoeana aliicha wazi.

Mwanamke ambaye hataki umtumie nafasi ya kumzoea hakuna na hata nguvu ya kuondoka na laptop yake hutakuwa nayo maana huenda ungeirudisha kituo cha polisi kupitia kwa mtendaji wa mtaa kabla bosi wenu haijamfikia.
 
Jamaa angekuwa mshikaj wangu ningemshauri akuolee mke wa pili.
 
Wanaume wengi huwa hawapo tayari kusamehe baada ya kugundua pasi na shaka kuwa mke wake amefanya uzinzi huko nje.
Ushawishi wa kuishi pamoja ili mlee watoto huwa ni baada ya kutafakari sana kuhusu ustawi wa watoto wake.

Nakumbuka nikiwa kijana wa makamu, mjomba wangu aligundua pasi na shaka kuwa mkewe ana mahusiano na kijana fulani na kwa bahati mbaya sana akawafumania.
Miaka zaidi ya 20 imepita, wamebaki kuishi pamoja lakini mjomba bado hajasamehe, huyu shangazi yangu anaishi maisha magumu sana ya kihisia, maana kila anapokosea mjomba anakumbusha tukio la miaka 20 iliyopita.
Kuna wakati huwa nataka walau nimshauri huyu mwanamke kwa kuwa watoto wameshakua basi aangalie ustaarabu mwingine wa maisha yake.

Pole sana; ila usiweke matarajio kwamba ipo siku mumeo atarudi kuwa kama zamani. Hiyo nafasi ilishapita, jambo la muhimu ni wewe kujisamehe na kuangalia maisha yako.

Binadamu wote hukosea ila kosa la uzinzi kwa mwanamke aliye katika ndoa na likajulikana lina malipo mabaya na ya muda mrefu.
 
Niliwahi kusema haoa na nilisisitiza kwa herufi kubwa kwamba KOSA LA MWANAMKE KUCHEPUKA HALISAMEHEKI, HALISAHAULIKI WALA HALIVUMILIKI Nafikiri wanawale hamkunielewa. Ubaya wa case hii ni kuwa mpaka ndugu na marafiki wanajua kama jamaa amechapiwa. Mlima mrefu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…