Mamba mweusi
Member
- Jan 13, 2023
- 60
- 94
Kwanza si mawanamke huyu. Hii ni chai ya hatariHii ni chai, happ kwenye kulowa nyuma ya sketi umepakazania sana kuna namna,, mambo yako kasi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza si mawanamke huyu. Hii ni chai ya hatariHii ni chai, happ kwenye kulowa nyuma ya sketi umepakazania sana kuna namna,, mambo yako kasi sana
Mwanamke ambaye anaheshimu ndoa, na ambaye anajua jinsi maisha ya wanawake mtaani yalivyo magumu hawezi kuchepukaAll of the above.
Ila kweli evu tutumie logic kidogo. Mke wako umemuoa ambaye wewe umemkuta tayari ameshaonja mboo kama kumi hivi. Wee mwenye kabla ya kumuoa umemgegeda wee ndio ukaamua kumuoa. Je kweli ni kweli kwamba katika miaka yote mtakayoisbi kwenye ndoa hatachepuka? Tuwe wakweli
Habari dada! Pole Sana kwakuwa muhanga wa mpango wa shetani.kama hutojali tafadhali nitafute kwenye namba hii tuzungumze! 0679996075.amin kuwa kwa Mungu hakuna kosa lisilosameheka kipenz.nakutakia amani ya Muumba wako moyoni mwakoMkeo alifanyaje ulipojua kuwa amekusaliti karibu dear nipate experience, kama itakuwa shida njoo hata pm tuzungumze nipate kujifunza dear.
Natamani sana tuwe kama mwanzo.
Nisaidie friend. Please hata pm sawa
Japo mada ya siku nyingi, lakini usiseme hivo. Wanawake?Umekosa Nini??
Unataka Nini mtu umeolewa kwa bahati, unaenda kuwa Malaya pole zako mie nikiolewa zaidi yamume wangu nope . Huna hayaa
Wewe sikia kuolewa ni hiyariJapo mada ya siku nyingi, lakini usiseme hivo. Wanawake?
Omba lisikukute kama halijakutokea. Hata iwe asilimia ndogo,ila ipo ya wanawake wanaoingia kwenye 18 za wanaume wakati mwingine hawajawahi hata kuwafikilia. Analiwa,analia,anarudi zake home anaugulia maumivu na inabaki siri yake. Hili kundi nalo lipo usilisahau.Wewe sikia kuolewa ni hiyari
Hapana aiseeOmba lisikukute kama halijakutokea. Hata iwe asilimia ndogo,ila ipo ya wanawake wanaoingia kwenye 18 za wanaume wakati mwingine hawajawahi hata kuwafikilia. Analiwa,analia,anarudi zake home anaugulia maumivu na inabaki siri yake. Hili kundi nalo lipo usilisahau.
Unakataa?Hapana aisee
Mwanamke akiileta mwenyewe ametaka kinyume na hapo amebakwa. Hakuna zaidi ya hapo boss.Omba lisikukute kama halijakutokea. Hata iwe asilimia ndogo,ila ipo ya wanawake wanaoingia kwenye 18 za wanaume wakati mwingine hawajawahi hata kuwafikilia. Analiwa,analia,anarudi zake home anaugulia maumivu na inabaki siri yake. Hili kundi nalo lipo usilisahau.
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.
Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.
Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa furaha na visuprise kibao, na zawaidi sana tuu.
Nakili kwa kusema mume wangu alinipenda sana, kuna kipindi alininunulia gari la Toyota vixz ni kadogo hivi.
Na alikuwa ananijazia mafuta full mimi ni kujimwaga na watoto wangu mpaka basi. Alikuwa ni mtu wa kunifanyia surprise mpaka basi, na nakili katika siku zote hizo mume wangu sijawahi hisi anafanya lolote lile baya kwangu. Alikuwa ni mume mzuri na baba mzuri tuu.
Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja nilizoeana nae kama mfanya kazi mwezangu tuu, lakini akaanza kunitongoza ,mimi nikamwambia kuwa ni mke wa mtu nina ndoa yangu ila yeye hakujali, na wakati wote huwo sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja.
Alinishawishi sana mpaka nikawa naona kelo, nikawa simjibu lolote alinisumbua kama 4 months hivi. Sasa siku moja aliniazima laptop yangu achukue movie, mimi napenda sana movie so nadownload kwenye pc yangu. Lkn alienda nayo nyumbani kwake.
Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.
Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.
Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.
Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.
Nilishituka nikaamua kumwambia mume wangu ananitafuta si unaona akajibu ka mwambie tuu ulikuwa kwenye kikao.
Akaniambia oga kwanza ndo uwende home mimi nikaamua kuoga pale nimemaliza kuoga na chukua nguo kuvaa nakuta sketi na chup* yangu imeloa nikaja kujua kuwa ni uteute wa uk* maana alinishika shika na sehemu za nje ya uk* wangu na kuniingiza vidogo.
So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.
Nilijuta sana usiku ule na mda ulikuwa ni kama saa 3 kasoro hivi ndo natoka pale nikamtumia sms nakuja mume wangu akanijibu sawa.
Nafika home nikakuta geti limefugwa nikashuka kwenye gari najaribu kufungua limefugwa nampigia njoo ufungue geti haongei na anakata simu, kwenye gari nilikuwa na kanga so nikachukua kanga nikajifunika ili my hubby asione sketi iliyolowa kwa nyuma.
Siku ile nilikaa nje mpaka saa 6 ndo akaja kunifungulia geti, akaniambia alikuwa anasubiri watoto walale kwanza.
Sasa kwa mshituko nilibaki natetemeka sana naingia ndani sina ujasili kabisa akaniuliza ulikuwa wapi , mimi nikamjibu tulikuwa kwenye kikao ila sorry kipenzi sikukuambia , akaniuliza tena ulikuwa wapi na kikao kilifanyika wapi mimi si nikamwambia ofisini.
Kumbe yeye alikuja ofisi saa 12 jioni. Akakuta ofisi imefungwa, mume wangu ajawahi kunizaba kibao alinipiga kibao kimoja kikali sana.
Nilipiga kelele Sasa ile nainuka kanga si ikanivuka, mume wangu akaniona nyuma nimelowa.
Alinishika na mimi nilikuwa sitaki anikague ila kwa vile yeye ni mwanaume alinishida nguvu, na kufanikiwa kuniangali na akajua kuwa nimemcheat.
Akaniacha mimi kwenda chumbani nimerudi sebuleni nimechukua simu yangu sms imeingia ya jamaa yule ananiuliz mume wako kakuzingua na samahani sana kwa haliyotokea.
Ile sijamaliza naendela kuperuzi akanipokonya simu na kosoma sms nyingi , kisha akasibitisha kuwa nimemcheat.
Alinifukuza nje na siku ile nilikaa nje ya nyumba mpaka asubui.
Nilijitahidi kumwamba msamaha ilishindikana nikaenda kwa rafiki mmoja ni mama mtu mzima nikamueleza basi akaamua kwenda kwa mume wangu kuongea nae ila ilishindikana. Nakumbuka ofisini sikwenda kama 2 weeks hivi.
Mume wangu si akafikisha mpaka kanisani kuwa anataka kuvunja ndoa niliitwa na watumishi na na kujaribu kuweka sawa ila aliendeleza na nia ya kuniacha na yeye alidai kapata maumivu makali kwa sababu hajawahi kunicheat.
Ugomvi ulifika mpaka kwa wazazi wetu wote wawili, ofisini kwa kipindi kile nikawa naenda siku moja moja huku nalia kila siku, yule mwanaume aliniuliza nikamwambia ndoa yangu imeingia Dosali aliniomba msahama tuu.
Ugomvi uliendela kama miezi 8 hivi, yeye aliendeleza msimamo wake hule hule.
Nilimuomba msahama sana na nikamuahidi sitarudia tena. Na nilijuta sana.
Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.
Na yeye akasema kuwa kazini ndo kulimpelekea yote hayo. Mwishowe tulikubaliana mimi niache kazi na kuwa mama wa nyumbani. Nilikubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani kazi ya 550,000 kwa mwezi niliiacha.
Baada ya hio kesi mume wangu alibadilika sana home , alinichukua gari, kutola out kuliisha , surprise na vizawadi vingi vilipotea , na hakuwa mtu wa furaha tena tangu siku ile.
Mpaka leo ni kitu najuitia sana kwa kile kulitokea na hata yule jamaa nilimwambia naacha kazi kwa sababu ya ndoa yangu kwa tukio lile. Aliniomba tuu msamaha.
Nilijaribu kumshawishi mume wangu ili arudi kwa aliyake ya kawaida ila nilishidwa , niliamua kuwa mke bora kwake , kuangaika kumfurahisha ila ilishindika. Hata Sasa kwenye yendo simuoni kama anaenjoy kama hapo mwanzo maana tukiwa kwenye tendo mume wangu alikuwa ni mtu wa kunifurahia sana mpaka kuna kipindi machozi yanamtoka kwa furaha ya tendo. Ila kwa sasa hakuna kabisa.
Sasa wanawake wenzangu ni ishu imetokea 3.5 years ago na imeniathili sana tena sana.
NAOMBENI USHAURI JAMANI NIMRUDISHE MUME WANGU HUYU.
NIMEJUTA SANA KWA LILE. USHAURI TAFADHARI.
Eh!Unakataa?
Kwa hiyo angeacha laptop? Sema tu baada ya kutekenywa wazimu wakapanda,lakini hakwenda kutoa bhanaMwanamke akiileta mwenyewe ametaka kinyume na hapo amebakwa. Hakuna zaidi ya hapo boss.
Wanawake wazinzi wake za watu wanapenda hivyo, ujiongeze asionekane alitaka umwingilie. Jamaa akajiongeza na laptop.Kwa hiyo angeacha laptop? Sema tu baada ya kutekenywa wazimu wakapanda,lakini hakwenda kutoa bhana