Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.

Mathayo 5:13
 
Pole sana dada yangu hayo ni mapito wengi wamepitia, ukweli pia wanawake 99% waliopo maofisini wanaliwa na work mates
Lakini bora wewe umejutia kosa angekua cute wife wala asingejuta tena ndio angezidisha, bahati mbaya tu ndoa hana
Imeniume sana...ukute ndio mke wako kaliwa kimasihara daah
 
Alitaka mwenyewe bana, huyo jamaa alivyomuita alijua kabisa kitakachoenda kutokea coz jamaa alikuwa anamsubua siku nyingi.

Mwanamke.....huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Alipelekewa moto kuanzia saa kumi kasoro mpaka saa mbili kasoro halafu aseme ni bahati mbaya.
 
Hapo ushayakoroga, sisi huwa hatusahaugi😁, Nafurahi maana kiukweli wanaume tunafurahisha sana... Yaani kila mtu akitafakari ni jinsi gani ulikunjwa akikutazama anatamani kukunyonga.... Hapo kwa kuwa mmekubaliana ni kwa manufaa ya watoto pekee basi sawa ila haipendezi kuishi pamoja tena. Sorry nimeguswa tu nimeona nichangie maoni though naona uliomba ushauri kwa wanawake wenzako pekee.
 
Tafuta kazi au shughuli ya kufanya, kisha omba taraka na watoto umwachie ili atafute mke mwema ataamua kuchagua aanze upya au akusamehe, utakuja kuamka umekatwa nyonyo moja! Mtu gani asiyeachilia moyo wake !
 
Ni ngumu cute,bila kuremba huo ndo uhalisia....kikubwa tulia tu endelea kumweshimu na kujishusha sikuzote.....afu acha kumsifu Kwa bed maana utamwongezea hasira atakuona mnafki
Ni kweli kabisa,Imagine mtu analia baby hapohapo si utasema anaigiza?tena ikiwezekana aache kujiliza,imagine mwanaume alikuwa anatoa mpaka machozi,baada ya usaliti anaona kumbe inawezekana simridhishi ko hata ukijiliza anaona unafiki mtupu.
 
Hizo tunasimianila ni uninga so mkeo kashatombwer alafu wee unamfira jamaa then u arudi na mke nyumbani unaishi nae sii mwanamke anakuona fala tuu.
Masuala ya mke na mume ni tofauti sana, na kila mtu anayachukulia kwa namna ya kipekee..

Kuna wale hata wakifumania wanapotezea na hawa ni wale walioa / olewa kwa shinikizo na wanaishi kwa sababu tu inawalazimu.

Na kuna hawa waliopambania urafiki, uchumba hadi kuwa mke na mume.. Hawa wamejitoa kwa hali na mali na wana wivu na wake / waume zao.. Wakihisi au kujua anasalitiwa huwa na maamuzi magumu na ya kikatili sana. Neno nimekusamehe wanalitamka ili kuwaridhisha wapatanishi, ila kiuhalisi wanakuwa hawajasamehe na wanakuwa wanatafuta njia ya kulipiza kisasi.
 
Dah! yaani🤔
Hivi kweli mkeo ndo akurudie nyumbani na sketi iliyojichora alama ya Bao na Pantii iliyoloa na Mabao🙌🙌🙌

dronedrake hapa unasemaje?
 
Ni kweli kabisa,Imagine mtu analia baby hapohapo si utasema anaigiza?tena ikiwezekana aache kujiliza,imagine mwanaume alikuwa anatoa mpaka machozi,baada ya usaliti anaona kumbe inawezekana simridhishi ko hata ukijiliza anaona unafiki mtupu.
Sasa kuna raha gani tena ya kegegeduana kama mwanamke hasemi bby hapo hapo oh nikune oh bby nitombe...🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…