Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Ah wee nae unazungumza from perspective ya usingleness. Huyu mke yaani amezoea akigeuka tuu de libolo hili hapa analipanda🤣🤣🤣🤣 so wiki ndefu dada usichulie poa
😂😂Sawa sijakataa lkin lazima waelew kunawkat mume anaweza kuwa mgonjwa au lah akapata changamoto yoyote ya kushindwa kukutumizia hitaji la kimwili Kama mlivozoea
Lakini MUNGU amsaidie kesi yake nzito sana
 
Generally nyie wanawake ni dhaifu sana
Jibu ndio hilo mwanamke akijilengesha ukamuwahi kumkamata moja ya titi lake linalopokea mapigo ya moyo basi analegea na ukilinyonya hilo titi analegea kabisa unamchojoa kitu ndani, ndio kilichotokea kwa huyu mtoa mada jamaa alitumia huo udhaifu akaminya maeneo ambayo mwanamke ukimminya hakunyimi chini hata km anaolewa leo
 
😂😂Sawa sijakataa lkin lazima waelew kunawkat mume anaweza kuwa mgonjwa au lah akapata changamoto yoyote ya kushindwa kukutumizia hitaji la kimwili Kama mlivozoea
Lakini MUNGU amsaidie kesi yake nzito sana
Huyu alitaka de libolo la huyo kijana haiwezekani mtu usiempenda utalowesha kyupi hadi skirt na kugegedwa masaa yote hayo
 
Mkiulizwa swali la maana mnakimbilia kwenye umri mtoto wa darasa la Pili anaweza kukuuliza swali km hilo ? Fikri nje ya box mkuu unapoheshimiwa na wewe tunza heshima yako usijishushie heshima kwa Mambo madogo madogo na usipende ugomvi usio na faida
Swali lako ni la kijinga,hii mada inahusu mke wa mtu haihusu tabia ya mke kabla ya ndoa,

Kwahiyo kama mke ukimkuta sio bikra ndio awe anatiwa tu na wewe uwe unaona sawa kisa ulimkuta sio bikra? Hivi wewe ni mzima kweli?
 
Jibu ndio hilo mwanamke akijilengesha ukamuwahi kumkamata moja ya titi lake linalopokea mapigo ya moyo basi analegea na ukilinyonya hilo titi analegea kabisa unamchojoa kitu ndani, ndio kilichotokea kwa huyu mtoa mada jamaa alitumia huo udhaifu akaminya maeneo ambayo mwanamke ukimminya hakunyimi chini hata km anaolewa leo
Meneo gani hayo mkuu na mie nokale mke wa mtu
 
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.

Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.

Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa furaha na visuprise kibao, na zawaidi sana tuu.

Nakili kwa kusema mume wangu alinipenda sana, kuna kipindi alininunulia gari la Toyota vixz ni kadogo hivi.

Na alikuwa ananijazia mafuta full mimi ni kujimwaga na watoto wangu mpaka basi. Alikuwa ni mtu wa kunifanyia surprise mpaka basi, na nakili katika siku zote hizo mume wangu sijawahi hisi anafanya lolote lile baya kwangu. Alikuwa ni mume mzuri na baba mzuri tuu.

Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja nilizoeana nae kama mfanya kazi mwezangu tuu, lakini akaanza kunitongoza ,mimi nikamwambia kuwa ni mke wa mtu nina ndoa yangu ila yeye hakujali, na wakati wote huwo sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja.

Alinishawishi sana mpaka nikawa naona kelo, nikawa simjibu lolote alinisumbua kama 4 months hivi. Sasa siku moja aliniazima laptop yangu achukue movie, mimi napenda sana movie so nadownload kwenye pc yangu. Lkn alienda nayo nyumbani kwake.

Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.

Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.

Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.

Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.

Nilishituka nikaamua kumwambia mume wangu ananitafuta si unaona akajibu ka mwambie tuu ulikuwa kwenye kikao.

Akaniambia oga kwanza ndo uwende home mimi nikaamua kuoga pale nimemaliza kuoga na chukua nguo kuvaa nakuta sketi na chup* yangu imeloa nikaja kujua kuwa ni uteute wa uk* maana alinishika shika na sehemu za nje ya uk* wangu na kuniingiza vidogo.

So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.

Nilijuta sana usiku ule na mda ulikuwa ni kama saa 3 kasoro hivi ndo natoka pale nikamtumia sms nakuja mume wangu akanijibu sawa.

Nafika home nikakuta geti limefugwa nikashuka kwenye gari najaribu kufungua limefugwa nampigia njoo ufungue geti haongei na anakata simu, kwenye gari nilikuwa na kanga so nikachukua kanga nikajifunika ili my hubby asione sketi iliyolowa kwa nyuma.

Siku ile nilikaa nje mpaka saa 6 ndo akaja kunifungulia geti, akaniambia alikuwa anasubiri watoto walale kwanza.

Sasa kwa mshituko nilibaki natetemeka sana naingia ndani sina ujasili kabisa akaniuliza ulikuwa wapi , mimi nikamjibu tulikuwa kwenye kikao ila sorry kipenzi sikukuambia , akaniuliza tena ulikuwa wapi na kikao kilifanyika wapi mimi si nikamwambia ofisini.

Kumbe yeye alikuja ofisi saa 12 jioni. Akakuta ofisi imefungwa, mume wangu ajawahi kunizaba kibao alinipiga kibao kimoja kikali sana.

Nilipiga kelele Sasa ile nainuka kanga si ikanivuka, mume wangu akaniona nyuma nimelowa.

Alinishika na mimi nilikuwa sitaki anikague ila kwa vile yeye ni mwanaume alinishida nguvu, na kufanikiwa kuniangali na akajua kuwa nimemcheat.

Akaniacha mimi kwenda chumbani nimerudi sebuleni nimechukua simu yangu sms imeingia ya jamaa yule ananiuliz mume wako kakuzingua na samahani sana kwa haliyotokea.

Ile sijamaliza naendela kuperuzi akanipokonya simu na kosoma sms nyingi , kisha akasibitisha kuwa nimemcheat.

Alinifukuza nje na siku ile nilikaa nje ya nyumba mpaka asubui.

Nilijitahidi kumwamba msamaha ilishindikana nikaenda kwa rafiki mmoja ni mama mtu mzima nikamueleza basi akaamua kwenda kwa mume wangu kuongea nae ila ilishindikana. Nakumbuka ofisini sikwenda kama 2 weeks hivi.

Mume wangu si akafikisha mpaka kanisani kuwa anataka kuvunja ndoa niliitwa na watumishi na na kujaribu kuweka sawa ila aliendeleza na nia ya kuniacha na yeye alidai kapata maumivu makali kwa sababu hajawahi kunicheat.

Ugomvi ulifika mpaka kwa wazazi wetu wote wawili, ofisini kwa kipindi kile nikawa naenda siku moja moja huku nalia kila siku, yule mwanaume aliniuliza nikamwambia ndoa yangu imeingia Dosali aliniomba msahama tuu.

Ugomvi uliendela kama miezi 8 hivi, yeye aliendeleza msimamo wake hule hule.

Nilimuomba msahama sana na nikamuahidi sitarudia tena. Na nilijuta sana.

Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.

Na yeye akasema kuwa kazini ndo kulimpelekea yote hayo. Mwishowe tulikubaliana mimi niache kazi na kuwa mama wa nyumbani. Nilikubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani kazi ya 550,000 kwa mwezi niliiacha.

Baada ya hio kesi mume wangu alibadilika sana home , alinichukua gari, kutola out kuliisha , surprise na vizawadi vingi vilipotea , na hakuwa mtu wa furaha tena tangu siku ile.
Mpaka leo ni kitu najuitia sana kwa kile kulitokea na hata yule jamaa nilimwambia naacha kazi kwa sababu ya ndoa yangu kwa tukio lile. Aliniomba tuu msamaha.

Nilijaribu kumshawishi mume wangu ili arudi kwa aliyake ya kawaida ila nilishidwa , niliamua kuwa mke bora kwake , kuangaika kumfurahisha ila ilishindika. Hata Sasa kwenye yendo simuoni kama anaenjoy kama hapo mwanzo maana tukiwa kwenye tendo mume wangu alikuwa ni mtu wa kunifurahia sana mpaka kuna kipindi machozi yanamtoka kwa furaha ya tendo. Ila kwa sasa hakuna kabisa.

Sasa wanawake wenzangu ni ishu imetokea 3.5 years ago na imeniathili sana tena sana.
NAOMBENI USHAURI JAMANI NIMRUDISHE MUME WANGU HUYU.

NIMEJUTA SANA KWA LILE. USHAURI TAFADHARI.
Pole kifupi kwa sasa wewe ni malaya kama malaya wengine mbele ya mumeo..
Hivyo ndivyo anavyokuchukulia na itaenda hivyo kwa muda mrefu sana..

Kama unabisha wewe jaribu kumwambia kwamba unaondoka umechoka anaweza hata kukusindikiza hadi stand kabisa..
 
Swali lako ni la kijinga,hii mada inahusu mke wa mtu haihusu tabia ya mke kabla ya ndoa,

Kwahiyo kama mke ukimkuta sio bikra ndio awe anatiwa tu na wewe uwe unaona sawa kisa ulimkuta sio bikra? Hivi wewe ni mzima kweli?
Loint ya mwana ni kwamba kama mke hakuwa bikra basi suala la mke kugegedwa inapaswa isiwe jambo la kushangaza
 
Nachojua mme wako yumo humu na unajua, unachofanya ni kuandika na kudanganya ili asome aone hukutaka, japo ukweli unaujua mwenyewe
Sisi wanaume tukimpenda mwanamke kwa Royalty af tukagundua hayuko royal tunaumia sana, bora uoe malaya hata akikucheat hatutoumia sio nyie waigizaji
 
huyo ushahalibu ,biblia inasema na mwanaume asi mwache mwanamke isipokuwa kwa dhambi ya uzinzi tu.we fikiria mpaka biblia imekazia kabisa kuhusu kuchepuka sa unasubili nini hapo. bora usepe maana ndoa umeshaivunja kwa mikono yako mwenyewe, kaz umekosa na mume umekosa
 
Nina karibia mwaka Sasa bado nauguza maumivu ya usaliti, sikumkamata ugoni lakini Nina recoding za mazungumzo yao, nilivurugwa kishenzi mpaka nusu tuachane.

Bado tunaishi lakini mashaka yangu hayajakoma.
Maumivu ya usaliti yasikie tu kwa wengine, sisi Wanaume tuna wivu wa hatari.
Hapana,siyo wivu.
Ninachoamini mimi ni kwamba sisi wanaume huwa tunawaamini sana wake zetu kiasi cha kuwashirikisha kwenye mambo ambayo ilitakiwa yawe siri. Sasa inapotokea kafanya usaliti mambo ya kuwaza ni;
1 Mmewe nina mapungufu gani?
2 Kamuambia huyo hawara yake siri zangu ngapi?
3 Je,walianza lini,kabla ya kumuoa au baada?
4 Huenda hata fedha zangu anatumia huyu hawara yake (mfano huyu dada alikuwa akiwekewa mafuta kwenye gari na mmewe lkn hilohilo gari ndo lililompekea jamaa maku) ikumbukwe mmewe anatokwa jasho for the betterment of his family,sasa hili ndo baya zaidi.
5 Huenda jamaa kakosana hata kutengana na ndugu zake kisa huyu mkewe,lkn leo analipwa usaliti,km siyo kumtafutia kifo ni nini malengo ya mkewe?( Maswali ni mengi sana na mkewe hana majibu). Wanaume hatuna wivu,bali hatupendi kudharauliwa na tunaowaamini.
 
Back
Top Bottom