Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Kwani mlikubaliana missed calls mwisho ngapi? Maana angeweza chezea shaba.
🤣🤣🤣🤣🤣Umekumbuka zile missed call za mwanza eeeh?Mume missed call mwisho mbili ya tatu andaa maelezo yaliyonyooka
 
Maneno yako mbofu mbofu. Humuoneinhuruma mwanamke mwenzio. Zamani alikuwa anatombwer mpaka kidume anatoa chozi kwa utamu, sasa hamna cha chozi wala nini
Ila jamaa nae mpaka machozi eeeeeh🙆🙆🙆🙆halafu mchep hajatoa hata tabasamu🤣🤣🤣🤣
 
Mzinzi huwa hasamehewi Bora ufanye Kwa Siri Ila nikishuhudia Kwa evidence zangu lazima nikupige chini.
 
Ila jamaa nae mpaka machozi eeeeeh🙆🙆🙆🙆halafu mchep hajatoa hata tabasamu🤣🤣🤣🤣
Hayo mbona kawaida, ata wewe kuna kidume akikukamata unatoa utelezi wote ila mwengine unajisema moyoni sii amwage tuu nisepe zangu
 
Mwanaume akigundua amesaltiwa things will never be the same again.

Kubaliana na hali hiyo izoee tu.

Angalizo usije rudia tena ,sababu matokeo yatakuwa mara kumi yake.
 
Umri huo unaambiwa twende geto ukachukue laptop yako na wewe unakubali tu, wakati jamaa alikua anakufukuzia muda mrefu.
W t.f were you thinking ?
Naamini huyu mama alijua kabisa kuwa anaenda kufanywa,lakini hapa anajiliza tuu ili aonewe huruma.Mtu ameshakutongoza,anakuambia njoo nyumbani ufate computer yako unaenda?Bahati yake ni kuwa huyo jamaa hajavunja ndoa.Lakini hawezi kuwa sawa.Imagine mie nilikamata tu conversation za wife akitongozwa tu,hakuna mahala amekubali,lakini Sasa ni miaka miwili bado siko sawa[emoji22].
 
Aisee....kumbe huko makazini mnaliwa tuu kirahisi hivyo.
Kwanza huyo mume wako naye bewege.

Ssa anakasirika nini mke kwenda kutombwer nje...sii anaonja de libolo tofauti.

Ebu mwambie aache ushamba bwana. Karne ya sasa haya mambo ya kuchapiwa vitu easy tuu.

Ni kukaa chini na kuulizana sasa bby umejifunza style gani mpya huko
We jamaa bhn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1685268663620.png
 
We jamaa bhn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeh ndio hivyo mkuu. Dunia ya sasa mkeo kugegedwa sio jambo la kkukasirika. Ni kuelekezana tuu mwezangu huko nje umegundua lipi jipywa na sie tuwe tunafanya tukiwa uchi
 
Ibilisi wa zamu alimzidi kete
Ndiyo maana yake, na huenda hakuwa ameshiba kwake maana kama asingekuwa na njaa kushikwa tu angemzuia
Yeye naye akajiachia [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uzungu uzungu na maigizo mengi ofisini ndio yanapelekea ngono zembe. Unakuta mke anajenga mazoea ya kijinga na vijana vijana au waume za watu ofisini.


Uzungu uzungu wakati wa lunch ndio huanzisha mawasiliano na michezo ya kutamaniana na kuombana mchebwede.
Na nyie muwe mnawapa wake zenu nafasi hata yakuwasikiliza ona sasa mpaka mke anafanya mazoe na wanaume wengine, mme unakuwa busy kumzidi hata pm
 
Na nyie muwe mnawapa wake zenu nafasi hata yakuwasikiliza ona sasa mpaka mke anafanya mazoe na wanaume wengine, mme unakuwa busy kumzidi hata pm
Tunakuwa busy kusaka hizo ndalama ili mupate mahitaji muhimu na watoto wapate kuishi kwa raha. Sasa tukikaa tunatumbuliana macho unadhani hudumu nzuri utazipata?
 
Back
Top Bottom