Huo ni uoga. Kama mzazi unatakiwa kumfundisha mtoto wako wa kike kuwa haki zake kama mwanamke zinapoishia ndipo za mwanaume zinaanzia. Atambue mipaka.
Sio unamwambia kuwa wanaume na wanawake ni sawa. Mnawaponza mabinti huku kwenye ndoa matokeo yake wanakuwa wanalazimisha usawa hata maeneo ambayo hawatakiwi kuleta pua zao jambo linalosababisha wanaume kutumia hasira kuwafunza mipaka.
Ndio unasikia kesi binti amepigwa kumbe sababu ni mwanamke hakufunzwa kwao kuwa mwanaume hutakiwi kubishana nae unatakiwa kuwasiliana nae kwa adabu na utii na kujenga maelewano sio mabishano na ushindani muda wote.
Mimi mwanangu wa kiume akija kuoa binti yako ukiwa umemfundisha kiburi na kulazimisha usawa akimkung'uta nitakwambia mzee mwenzangu hujamfunza mwanao kuishi na mwanaume umemfunza kuishi kwa usawa.
Sent from my JKM-LX1 using
JamiiForums mobile app