Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Tafuta kazi au shughuli ya kufanya, kisha omba taraka na watoto umwachie ili atafute mke mwema ataamua kuchagua aanze upya au akusamehe, utakuja kuamka umekatwa nyonyo moja! Mtu gani asiyeachilia moyo wake !
Kuachilia sio rahisi pia kama unavyodhani. Kama ni mwanaume utanielewa lkn kama ni ke unaweza kuona ni rahisi
 
Kiufupi mpenzi, hata wanaume wa humu jf unawaona wanavyokereka.?

Mwanaume ni katili linapokuja swala la kuthibitisha umeshiriki tendo la ndoa yenu na mwaname mwingine.

Mwanaume anahisi umemdharau na hatakusamehe asilani.

Ukweli ni kwamba hutaweza kumrejesha kama zamani. Zaidi na zaidi tulia, mleleee watoto wake kuwa mtumwa wake, labda anaweza kukupa nafasi nyingine lakini sio Ile ya mke wake tena. Anatakutaka akugeuze 0656...usikubali... Chukua maneno yangu ya Bure.

Mzalie watoto kama Bado anapenda, jiongeze zaidi ya ulivyokuwa hapo awali.

Maadam anakula chakula unachopika, anakuingizia dudulenu, anavaa ukimfulia, anawalipia wanao ada, anatoa mahitaji, anaitikia salamu yako.

Mpikie chakula kitamu Sana.
Mvalishe apendeze.
Mfanye sehemu ya watoto wako.
Bajeti vzr uwe muaminifu.
Tena Anza kumuita baba badala ya mume wangu.

Kukusamehe ataamua mwenyewe.
Hats hivyo hapo amekusamehe pakubwa tu shukuru mungu.

Mwanamke mwenzangu nikuambie ukijaribu kufanya tofauti atakuua, ikiwa utashindwa kuwa royal kama livyosema Kim Jong Jr Bora uondoke.

Mimi Nina watoto 3 nimecheat sana lkn Kwa tahadhari kubwa, Hawa wanaume hawana nguvu nyingi kwamba nitatosheka,

Mume wangu ana sukar.
Alinioa mwaka 89, ndoa Ina mida mrefu nilikiwa na Miata 16, akanikubalia nianze form one, nikasoma nikiwa kabinti evening prgrm nikawa attached na shule moja nikamaaliza form four vzr, hapo nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 18. Alikuwa analipa tendo miaka yote....

Ktk umri wa miaka 17 nilicheat nikiwa mdgo wkt huo. Wkt huo hata sijui madhara yake, nikaendelea na maisha, tukaendelea kupata watoto, nikaingia form five na six nilipata division nzr TU ONE POINT 14. na A- level One Point 5 NIKAINGIA UDSM.

To paraphrase story.
Kuna jamaa nilimpenda Sana na alinipenda pia. Tukiwa chuo kikuu, mume hakuisha kija chuo. Bahat nzr sikuwa nakaa Santa chuo, weekends narudi Kwa wanangu.

Huyu jamaa anawivu kuliko wanaume wote duniani. Kina kipndi anachumua simu yangu anaenda nayo kazini , namwambia mchepuko kuwa jamaa anamebeba Simu ...

Emergine mmi graduate mume la 7. Lkn amekaba Kona. Sasa yeye katika utu uzima huu yeye ana 60 kasoro Mimi bado ndio nipo 30's ngono kuacha ni ngumu. Mwanangu mmoja mweupe wengine chocolate color. Najua kabisa huyu sio wake. Nikiruka name NAE nje nikaruka Kwa hiyo Kuna mulato aka Africast hapa.

Kwa Sasa dushe imelala Hadi niipige booster.

Wanaume wajue kwenye ndoa Kuna menginyamejificha
Umeeleza vizuri sana. Wanaume wengi hatuwezi kusamehe mke akituchiti.

Hivyo mke akichiti awe tayari na matokeo siku akifumaniwa.
 
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.

Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.

Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa furaha na visuprise kibao, na zawaidi sana tuu.

Nakili kwa kusema mume wangu alinipenda sana, kuna kipindi alininunulia gari la Toyota vixz ni kadogo hivi.

Na alikuwa ananijazia mafuta full mimi ni kujimwaga na watoto wangu mpaka basi. Alikuwa ni mtu wa kunifanyia surprise mpaka basi, na nakili katika siku zote hizo mume wangu sijawahi hisi anafanya lolote lile baya kwangu. Alikuwa ni mume mzuri na baba mzuri tuu.

Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja nilizoeana nae kama mfanya kazi mwezangu tuu, lakini akaanza kunitongoza ,mimi nikamwambia kuwa ni mke wa mtu nina ndoa yangu ila yeye hakujali, na wakati wote huwo sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja.

Alinishawishi sana mpaka nikawa naona kelo, nikawa simjibu lolote alinisumbua kama 4 months hivi. Sasa siku moja aliniazima laptop yangu achukue movie, mimi napenda sana movie so nadownload kwenye pc yangu. Lkn alienda nayo nyumbani kwake.

Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.

Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.

Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.

Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.

Nilishituka nikaamua kumwambia mume wangu ananitafuta si unaona akajibu ka mwambie tuu ulikuwa kwenye kikao.

Akaniambia oga kwanza ndo uwende home mimi nikaamua kuoga pale nimemaliza kuoga na chukua nguo kuvaa nakuta sketi na chup* yangu imeloa nikaja kujua kuwa ni uteute wa uk* maana alinishika shika na sehemu za nje ya uk* wangu na kuniingiza vidogo.

So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.

Nilijuta sana usiku ule na mda ulikuwa ni kama saa 3 kasoro hivi ndo natoka pale nikamtumia sms nakuja mume wangu akanijibu sawa.

Nafika home nikakuta geti limefugwa nikashuka kwenye gari najaribu kufungua limefugwa nampigia njoo ufungue geti haongei na anakata simu, kwenye gari nilikuwa na kanga so nikachukua kanga nikajifunika ili my hubby asione sketi iliyolowa kwa nyuma.

Siku ile nilikaa nje mpaka saa 6 ndo akaja kunifungulia geti, akaniambia alikuwa anasubiri watoto walale kwanza.

Sasa kwa mshituko nilibaki natetemeka sana naingia ndani sina ujasili kabisa akaniuliza ulikuwa wapi , mimi nikamjibu tulikuwa kwenye kikao ila sorry kipenzi sikukuambia , akaniuliza tena ulikuwa wapi na kikao kilifanyika wapi mimi si nikamwambia ofisini.

Kumbe yeye alikuja ofisi saa 12 jioni. Akakuta ofisi imefungwa, mume wangu ajawahi kunizaba kibao alinipiga kibao kimoja kikali sana.

Nilipiga kelele Sasa ile nainuka kanga si ikanivuka, mume wangu akaniona nyuma nimelowa.

Alinishika na mimi nilikuwa sitaki anikague ila kwa vile yeye ni mwanaume alinishida nguvu, na kufanikiwa kuniangali na akajua kuwa nimemcheat.

Akaniacha mimi kwenda chumbani nimerudi sebuleni nimechukua simu yangu sms imeingia ya jamaa yule ananiuliz mume wako kakuzingua na samahani sana kwa haliyotokea.

Ile sijamaliza naendela kuperuzi akanipokonya simu na kosoma sms nyingi , kisha akasibitisha kuwa nimemcheat.

Alinifukuza nje na siku ile nilikaa nje ya nyumba mpaka asubui.

Nilijitahidi kumwamba msamaha ilishindikana nikaenda kwa rafiki mmoja ni mama mtu mzima nikamueleza basi akaamua kwenda kwa mume wangu kuongea nae ila ilishindikana. Nakumbuka ofisini sikwenda kama 2 weeks hivi.

Mume wangu si akafikisha mpaka kanisani kuwa anataka kuvunja ndoa niliitwa na watumishi na na kujaribu kuweka sawa ila aliendeleza na nia ya kuniacha na yeye alidai kapata maumivu makali kwa sababu hajawahi kunicheat.

Ugomvi ulifika mpaka kwa wazazi wetu wote wawili, ofisini kwa kipindi kile nikawa naenda siku moja moja huku nalia kila siku, yule mwanaume aliniuliza nikamwambia ndoa yangu imeingia Dosali aliniomba msahama tuu.

Ugomvi uliendela kama miezi 8 hivi, yeye aliendeleza msimamo wake hule hule.

Nilimuomba msahama sana na nikamuahidi sitarudia tena. Na nilijuta sana.

Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.

Na yeye akasema kuwa kazini ndo kulimpelekea yote hayo. Mwishowe tulikubaliana mimi niache kazi na kuwa mama wa nyumbani. Nilikubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani kazi ya 550,000 kwa mwezi niliiacha.

Baada ya hio kesi mume wangu alibadilika sana home , alinichukua gari, kutola out kuliisha , surprise na vizawadi vingi vilipotea , na hakuwa mtu wa furaha tena tangu siku ile.
Mpaka leo ni kitu najuitia sana kwa kile kulitokea na hata yule jamaa nilimwambia naacha kazi kwa sababu ya ndoa yangu kwa tukio lile. Aliniomba tuu msamaha.

Nilijaribu kumshawishi mume wangu ili arudi kwa aliyake ya kawaida ila nilishidwa , niliamua kuwa mke bora kwake , kuangaika kumfurahisha ila ilishindika. Hata Sasa kwenye yendo simuoni kama anaenjoy kama hapo mwanzo maana tukiwa kwenye tendo mume wangu alikuwa ni mtu wa kunifurahia sana mpaka kuna kipindi machozi yanamtoka kwa furaha ya tendo. Ila kwa sasa hakuna kabisa.

Sasa wanawake wenzangu ni ishu imetokea 3.5 years ago na imeniathili sana tena sana.
NAOMBENI USHAURI JAMANI NIMRUDISHE MUME WANGU HUYU.

NIMEJUTA SANA KWA LILE. USHAURI TAFADHARI.
Chai
 
Dada pole kwa yaliokukuta,
Kwa kawaida sisi wanaume tuna wivu sana kwa wake zetu.

Yani mume akijua mkewe analiwa na mtu mwingine daa tunapata maumivu makubwa sana.

Tena tunaweza tusisahau maishayetu yote.

" ni bola kuwa mchafu hata pia kuwa hujui kupika lakini si kwenda kutoa utamu kwa kidume kingine".

Kusahau ni MUNGU mwenyewe tuu ndo anaweza kutusaulisha.
Basi kama ndo hivyo basi mume mwenyewe awe mzizi sana ndo atachukulia kawaida.

Ndo maana wanawake wanaotuelewa sisi wanaume kuwa tunawivu sana akitaka kucheat.

Anakuwa makini sana, wengi wanategea mume labda awe amesafiri kikazi ndo anacheat.
Au wengi wanacheat Asubui au mchana.

Wanawake wanaocheat jioni na night ni wachache sana kwani mume wake ni rahisi kumsitukizia.

Pole dada, vumilia tuu.
" Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenywe"

"Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja"

Huyu ndo mume wako mbwa wewe
 
MImi sianzi kwa kukupa pole kama wengine kwa sababu cheating is a choice siyo bahati mbaya.

Huwezi kusema jamaa alikushawishi wakati unajua kabisa wewe ni mke wa mtu, hapo tafsiri yake ni kwamba hata wewe ulishaanza kumwelewa ndiyo maana ukamtunuku utamu wa mumeo.

Kingine unapaswa kutambua kwamba "sisi wanaume huwa hatusamehi kabisa tuki-chitiwa na tunapataka maumivu makali sana na huwa hatusahau pia"

Kama kuna mwanaume ulim-cheat alafu kakuambia amekusamehe basi huyo anakudanganya.

Ushauri wangu : Mwambie tu uliye kumega akuoe yeye utoke kwa mmeo wa sasa uende kuolewa na huyo uliyempa utamu, huyo anaweza kukupenda ila mumeo kwa alichomfanyia hawezi kukusamehe tena wala kukupenda tena wala kusahau hicho kitendo ulichomfanyia mpaka anaingia kaburini
 
Kiufupi mpenzi, hata wanaume wa humu jf unawaona wanavyokereka.?

Mwanaume ni katili linapokuja swala la kuthibitisha umeshiriki tendo la ndoa yenu na mwaname mwingine.

Mwanaume anahisi umemdharau na hatakusamehe asilani.

Ukweli ni kwamba hutaweza kumrejesha kama zamani. Zaidi na zaidi tulia, mleleee watoto wake kuwa mtumwa wake, labda anaweza kukupa nafasi nyingine lakini sio Ile ya mke wake tena. Anatakutaka akugeuze 0656...usikubali... Chukua maneno yangu ya Bure.

Mzalie watoto kama Bado anapenda, jiongeze zaidi ya ulivyokuwa hapo awali.

Maadam anakula chakula unachopika, anakuingizia dudulenu, anavaa ukimfulia, anawalipia wanao ada, anatoa mahitaji, anaitikia salamu yako.

Mpikie chakula kitamu Sana.
Mvalishe apendeze.
Mfanye sehemu ya watoto wako.
Bajeti vzr uwe muaminifu.
Tena Anza kumuita baba badala ya mume wangu.

Kukusamehe ataamua mwenyewe.
Hats hivyo hapo amekusamehe pakubwa tu shukuru mungu.

Mwanamke mwenzangu nikuambie ukijaribu kufanya tofauti atakuua, ikiwa utashindwa kuwa royal kama livyosema Kim Jong Jr Bora uondoke.

Mimi Nina watoto 3 nimecheat sana lkn Kwa tahadhari kubwa, Hawa wanaume hawana nguvu nyingi kwamba nitatosheka,

Mume wangu ana sukar.
Alinioa mwaka 89, ndoa Ina mida mrefu nilikiwa na Miata 16, akanikubalia nianze form one, nikasoma nikiwa kabinti evening prgrm nikawa attached na shule moja nikamaaliza form four vzr, hapo nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 18. Alikuwa analipa tendo miaka yote....

Ktk umri wa miaka 17 nilicheat nikiwa mdgo wkt huo. Wkt huo hata sijui madhara yake, nikaendelea na maisha, tukaendelea kupata watoto, nikaingia form five na six nilipata division nzr TU ONE POINT 14. na A- level One Point 5 NIKAINGIA UDSM.

To paraphrase story.
Kuna jamaa nilimpenda Sana na alinipenda pia. Tukiwa chuo kikuu, mume hakuisha kija chuo. Bahat nzr sikuwa nakaa Santa chuo, weekends narudi Kwa wanangu.

Huyu jamaa anawivu kuliko wanaume wote duniani. Kina kipndi anachumua simu yangu anaenda nayo kazini , namwambia mchepuko kuwa jamaa anamebeba Simu ...

Emergine mmi graduate mume la 7. Lkn amekaba Kona. Sasa yeye katika utu uzima huu yeye ana 60 kasoro Mimi bado ndio nipo 30's ngono kuacha ni ngumu. Mwanangu mmoja mweupe wengine chocolate color. Najua kabisa huyu sio wake. Nikiruka name NAE nje nikaruka Kwa hiyo Kuna mulato aka Africast hapa.

Kwa Sasa dushe imelala Hadi niipige booster.

Wanaume wajue kwenye ndoa Kuna menginyamejificha
Huyo labda mme wako!

Mimi nilishamwambia kosa la ku cheat halina msamaha na kila mtoto lazima nipime DNA.

Dah! Yaani unampatia mtu mwengine kabisa?! Aisee!
 
Hivi mwanamke anaweza kulowana chupi mpka sketi na isikauke kuanzia saa kumi kasoro jioni hadi saa sita usiku??? Hivi vitu vinatokea ila ni siri ambazo watu hufa nazo.
 
Yaani wee midume ukamlawiti mwanaume mwenzio kisa mkeo kapanua mapaja mwenyewe huko ni kukosa akili.

Pili ni ujinga kujidanganya kwamba mwanamke ambaye unamuoa akiwa breki pumbuz kwamba hatachepuka.

Thats just being unrealistic. Ukweli ni kwamba wengi wetu tupo kwenye ndoa lakini hatuna sifa kuu ya kuwa kwenye ndoa.

Haya sasa akimwacha huyo mke wake ataenda kwa mwanamke mwenginnaye huyo akitombwer atamuacha sasa sii bora tu asioe awe anageheda tuu kama mzabzab
Unalawitiwa vizuri ishu ni kama unafahamina na mm na unajua ni mke wangu .mwanamke simpigi hata kibao nampa talaka tu.ila ww nakucha hapo maana pana ushahidi .ila nauza nyumba nawapa wahuni mili 5 advance .wakulejicho siku mbili mfululizo na warekodi wakinletea mkanda namalizia kwa uaminifu mil 15 yao.ili tu ujue ulichezea sharubu za simba.ila nikikukuta nkawa sijawahi kukuona na hatujuani hata kibao sikupigi najua ww ukimtaman akajilengesha ww hunidharau mm umesikiliza hamu zako sina shida hata nkikuona nakuusalimia vizuri.
 
Mwee wee jamaa bwana ...aya bwana kila mtu na mtazamo wake. Ila sasa kwa nini ukakodi watu wakati wee mwenyewe de liboloz unalo unaweza ukamlawiti wewe mwenye
 
Mwee wee jamaa bwana ...aya bwana kila mtu na mtazamo wake. Ila sasa kwa nini ukakodi watu wakati wee mwenyewe de liboloz unalo unaweza ukamlawiti wewe mwenye
Ushahidi mkuu sitaaki shahawa zangu zikapimwe .unatekwa kwa roba ya madawa utapozinduka unapewa supu ukiwa na mabaunsa wa 4 chumban wamejixiba sura unaliwa taratibu unapewa na msosi supu chakula wanakuacha ulale ila kila masaa 6 unapigwa goli mbili .mm nakuwa nje tumekod bnb bagamoyo ndani huko .kisha tunasambaza video whatsap group za simu yako maana tumekuteka nayo.
 
Wanawake wajinga sana wewe ulifuata nini nyumbani Kwa huyo jamaa wakati unajua kabisa kitambo anakutaka?

Laptop si ungesubiri akuletee ofisini? Ujinga wako umekughalimu

Shukuru huyo mume wako ana karoho fulani hivi? Ingekuwa Mimi ingekughalimu maisha Yako yoote
 
Ushahidi mkuu sitaaki shahawa zangu zikapimwe .unatekwa kwa roba ya madawa utapozinduka unapewa supu ukiwa na mabaunsa wa 4 chumban wamejixiba sura unaliwa taratibu unapewa na msosi supu chakula wanakuacha ulale ila kila masaa 6 unapigwa goli mbili .mm nakuwa nje tumekod bnb bagamoyo ndani huko .kisha tunasambaza video whatsap group za simu yako maana tumekuteka nayo.
Aisee kwwli hatari yaani yote hayo kisa mbususu kuliwa na aliyeliwa mbususu kataka mwenyewe.....wat a waste of time
 
Aisee kwwli hatari yaani yote hayo kisa mbususu kuliwa na aliyeliwa mbususu kataka mwenyewe.....wat a waste of time
Kwako unaita mbususu mimi naita mke inabidi upitie hizo siku mbili kuliwa ili ukashauri wanao nini maana ya mke wa mtu.
Anamlipia mahali mke
Anapanga maisha toka mtoto kuja oa na kujenga familia na mke
Anasomesha hadi ndugu wa mke.
Anavumilia mengi kumfurahisha mke
Anatafuta na kujinyima kumlea mke

Wewe unakuja kojolea kirahisi ni dunia kila unacjopanda unavuna malipo ni kupigwa pumbu siku mbili.
Kisha nakukabidhi huyo mke.
 
We uliliwa tu kimasihara,na huo uteute huko nyuma ina maana alikula kisoda.
Unampaje mtu laptop yako na password yako mpk anapata ujasiri anaondoka nayo?
Unampa matokeo ya ujinga uliotokea anasema tu ahaa pole sana WTF.
Mna bahati na huyo mume wenu,
Mi ningewachezesha kiduku,sebene na injili mpaka
Wenyewe muhamie akhera
 
Back
Top Bottom