Umewahi kumzimia Rafiki wa Mpenzi wako? Mpenzi wa Tyrese afichua kuwa awali ‘alivutiwa zaidi’ na Paul Walker

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mapema wiki hii, Tyrese aliingia kwenye Instagram Live ili kuangazia zaidi uhusiano wake na Zelie Timothy—mwanamitindo ambaye walianza mahusiano mnamo 2021.

Alipoulizwa jinsi wawili hao walikutana, Tyrese aliwaambia watazamaji kuwa yeye ndiye alianza kumDM dada huyo hata hivyo Zelie aliingilia na kudai kuwa Tyrese hakuwa "type yake hata kidogo," na akafichua kwamba hapo awali alivutiwa zaidi na nyota mwingine wa Fast & Furious.

"Type yangu ilikuwa Paul Walker. Pumzika kwa amani,” Zelie alisema kuhusu marehemu mwigizaji huyo huku akimpapasa kichwa mpenzi wake. "Lakini [Tyrese] hakuwa type yangu hata kidogo. Ninasema tu nilipendezwa zaidi na Paul.”

Tyrese alionekana kukasirishwa na maoni hayo, na akamwambia mpenzi wake, "Usiniguse." Zelie alipuuza dalili hizo na kuendelea kuzungumza

"Hata nilipokutana na [Tyrese], nilisema, 'Eh, yeye ni mzee,'" aliendelea. "Ninapenda tabasamu lake. Ni poa sana. Pia personallity yake.”

Tyrese alionesha kuchukizwa zaidi na maneno hayo, hivyo akaaga na kutaka kutoka live, lakini Zelie aliendelea,

Watumiaji wengine wa Instagram walitaja matamshi ya Zelie kuwa "mbaya" na "ya kukosa heshima," wakati wengine walisadiki kuwa wapenzi hao walikuwa wakitania tu.

Je, ungekuwa wewe ni Tyrese ungefanyaje?
 
Nishawah na kuna mmoja nilishindwa kuvumilia ikabid ni mmege baada ya kuanza kutumia simu yangu kumtafuta bwana ake

Hata hvyo jamaa nae alikuwa ameshanipalilia njia,maana alikuwa anajifanya hana hela ili demu asimpige sana,kwahyo kila mara demu alikuwa akiomba hela anamwambia ngoja nikamkope WAGUMU TUNADUMU na mimi nikawa nampatia na siku zingine unakuta yupo na demu wake
 
Na kuna hii tabia mtu anakutongoza halaf anakupeleka kwa rafiki zake wanamzidi uzuri na kila kitu 😂😂😂
 
Sawa, nmekutongoza umenikubalia na nmeona sio nongwa, Wacha nikufahamishe Kwa Ndugu ,jama zangu..yes am proud kufanya hivo ili kufanya uhisi huru zaidi na ulokubalika.

Haya, nmekutambulisha Kwa watu wangu ,wanaozidi uzuri, na Fedha.

Hawana Shobo Nawewe, na wanakuheshim kama Shem wao...

Alafu wewe ndioo uwe nao Shobo, uwataman, wee utakua ni kamalaya tu
 
Povu
 
Hamna, mtu akisema ukweli, Huwa ndo mnatafuta namna ya kuukwepa ,utasikia "Povuuu ".

Nilichosema ni Hakika na Kweli hata ulisema Povu !!.

Umemkubali Mwanaume wako, kukutambulisha Kwa Rafiki ,Ndugu Jama zake sio dhambi, ni sehem ya kukuheshimisha wewe pachoni mwa Watu.

Angalisema, akudate kimyakimya ,ungesema hakupendi, au ana Wanawake wengine au ni Mme wa mtu.

Kaamua kuweka wazi, na Dunia ijue, he is now in love with you, nawee huyooooo Umeshangalia Uzuri wa wengine, Pesa zao ,,,, yaan hapo jina pekee lakukufaa ni "Kamalaya" hamna jina jingine.

MWANAMKE KUNA WAKATI LAZIMA URIDHIKE NA MWANAUME WAKO NA KILE AKUPACHO, MAANA PESA NA UZURI, HAVIWEZ KUMTOSHA MTU, SASA WEE HUYO MZURI NA PESA ,ANAZIDIWA NA MWINGINE, UTAMWACHA UENDE KWA MWINGINE ANAYEZIDIWA TENA NA MWINGINE?.

Hapana, Black is Black...White is White !!... Wee sema tusiwe serious na Maisha !!.
 
Mapema wiki hii, Tyrese aliingia kwenye Instagram Live ili kuangazia zaidi uhusiano wake na Zelie Timothy—mwanamitindo ambaye walianza mahusiano mnamo 2021.

Alipoulizwa jinsi wawili hao walikutana, Tyrese aliwaambia watazamaji kuwa yeye ndiye alianza kumDM dada huyo hata hivyo Zelie aliingilia na kudai kuwa Tyrese hakuwa "type yake hata kidogo," na akafichua kwamba hapo awali alivutiwa zaidi na nyota mwingine wa Fast & Furious.

"Type yangu ilikuwa Paul Walker. Pumzika kwa amani,” Zelie alisema kuhusu marehemu mwigizaji huyo huku akimpapasa kichwa mpenzi wake. "Lakini [Tyrese] hakuwa type yangu hata kidogo. Ninasema tu nilipendezwa zaidi na Paul.”

Tyrese alionekana kukasirishwa na maoni hayo, na akamwambia mpenzi wake, "Usiniguse." Zelie alipuuza dalili hizo na kuendelea kuzungumza

"Hata nilipokutana na [Tyrese], nilisema, 'Eh, yeye ni mzee,'" aliendelea. "Ninapenda tabasamu lake. Ni poa sana. Pia personallity yake.”

Tyrese alionesha kuchukizwa zaidi na maneno hayo, hivyo akaaga na kutaka kutoka live, lakini Zelie aliendelea,

Watumiaji wengine wa Instagram walitaja matamshi ya Zelie kuwa "mbaya" na "ya kukosa heshima," wakati wengine walisadiki kuwa wapenzi hao walikuwa wakitania tu.

Je, ungekuwa wewe ni Tyrese ungefanyaje?
Kwann wasiwe kama simba wa tandale

Wawabandue wawatupe kule 😂😂😂
 
Hivi Tyrese si ana mke siku nyingi tu?!
Walishaachana nadhani 2020 au 2021.

Tyrese akalia lia weeee! akaandika magazeti huko instangramuni kuomba mkewe arudishe moyo wake nyuma, mke amegoma kata kata, kwa jinsi Tyrese alivyokuwa anatapata, nikapata kuelewa kuwa Mungu amewaumbia wanaume udhaifu mkubwa sana masikini.

Hata huyu mpenzi wake wa sasa, walishaachana Tyrese akalia lia hadi akaomba msamaha hadharani huko instagramuni tena kwa page ya huyo dada. Ni kama alitaka kudata, anapost vitu anafuta anapost anafuta, mara anaingia insta live analia, enhe ni shida!

Sijui kaka zenu ninyi shida ninini aisee! Kila nikifikiria mtoto wangu atakavyokuja kulizwa na wanawake sina hamu! 🤣
 
Sawa, nmekutongoza umenikubalia na nmeona sio nongwa, Wacha nikufahamishe Kwa Ndugu ,jama zangu..yes am proud kufanya hivo ili kufanya uhisi huru zaidi na ulokubalika.

Haya, nmekutambulisha Kwa watu wangu ,wanaozidi uzuri, na Fedha.

Hawana Shobo Nawewe, na wanakuheshim kama Shem wao...

Alafu wewe ndioo uwe nao Shobo, uwataman, wee utakua ni kamalaya tu
Nilikuwa nawaza hivyo hivyo tu

Daaah aseee 😁😁😁 hii ngoma ngumu
 
Hamna, mtu akisema ukweli, Huwa ndo mnatafuta namna ya kuukwepa ,utasikia "Povuuu ".

Nilichosema ni Hakika na Kweli hata ulisema Povu !!.

Umemkubali Mwanaume wako, kukutambulisha Kwa Rafiki ,Ndugu Jama zake sio dhambi, ni sehem ya kukuheshimisha wewe pachoni mwa Watu.

Angalisema, akudate kimyakimya ,ungesema hakupendi, au ana Wanawake wengine au ni Mme wa mtu.

Kaamua kuweka wazi, na Dunia ijue, he is now in love with you, nawee huyooooo Umeshangalia Uzuri wa wengine, Pesa zao ,,,, yaan hapo jina pekee lakukufaa ni "Kamalaya" hamna jina jingine.

MWANAMKE KUNA WAKATI LAZIMA URIDHIKE NA MWANAUME WAKO NA KILE AKUPACHO, MAANA PESA NA UZURI, HAVIWEZ KUMTOSHA MTU, SASA WEE HUYO MZURI NA PESA ,ANAZIDIWA NA MWINGINE, UTAMWACHA UENDE KWA MWINGINE ANAYEZIDIWA TENA NA MWINGINE?.

Hapana, Black is Black...White is White !!... Wee sema tusiwe serious na Maisha !!.
Danga hilo 🚶🚶🚶😒
 
Walishaachana nadhani 2020 au 2021.

Tyrese akalia lia weeee! akaandika magazeti huko instangramuni kuomba mkewe arudishe moyo wake nyuma, mke amegoma kata kata, kwa jinsi Tyrese alivyokuwa anatapata, nikapata kuelewa kuwa Mungu amewaumbia wanaume udhaifu mkubwa sana masikini.

Hata huyu mpenzi wake wa sasa, walishaachana Tyrese akalia lia hadi akaomba msamaha hadharani huko instagramuni tena kwa page ya huyo dada. Ni kama alitaka kudata, anapost vitu anafuta anapost anafuta, mara anaingia insta live analia, enhe ni shida!

Sijui kaka zenu ninyi shida ninini aisee! Kila nikifikiria mtoto wangu atakavyokuja kulizwa na wanawake sina hamu! 🤣
😁😁😁😁😁😁.

Hata Shimba ya Buyenze na uzee wake alilizwa tu daaaah ngoma ngumu hiii
 
Back
Top Bottom