Hayo maajabu niliyakuta soko la himo. UsiombeUmewahi kununua samaki waliokaangwa wakiwa moto moto halafu ile unafika nyumbani unakuta wameoza wote.
View attachment 3300980
Hivi ndio leo nimeshinda njaa.
Huku Tandika ni kawaida sanaUmewahi kununua samaki waliokaangwa wakiwa moto moto halafu ile unafika nyumbani unakuta wameoza wote.
View attachment 3300980
Hivi ndio leo nimeshinda njaa.
Samaki wamegeuka rangi na kuwa kama kijani, ukungu(kuvu) ndiyo usiseme halafu wanazungushwa kila soko: leo soko la himo, kesho marangu mara kisambo, mwika then back to himo mkt.Walikupasua eh?!!
Hawajaoza wamechina.Umewahi kununua samaki waliokaangwa wakiwa moto moto halafu ile unafika nyumbani unakuta wameoza wote.
View attachment 3300980
Hivi ndio leo nimeshinda njaa.
Mkiambiwa mle maharage hamtaki. Nilifundishwa protini inayopatikana kwenye nyama na samaki ni sawa na kwenye maharage. Kule Bongoland mtu akikuona unakula maharage au dagaa kauzu anakuita masikiniUmewahi kununua samaki waliokaangwa wakiwa moto moto halafu ile unafika nyumbani unakuta wameoza wote.
View attachment 3300980
Hivi ndio leo nimeshinda njaa.