Umewahi kununua samaki waliokaangwa na baadaye kukuta wameoza

Dr Janabi anasema kushinda njaa kunajenga Afya kuliko kula.

Akitoa maelezo namna njaa inavyoutiisha mwili na kuimarisha Afya.
Anasisitiza wanaume kushinda njaa kwa Sana.
Njaa ni Baraka.
Madaktari wapo wengi
 
Hiyo kawaida sana kwa maisha ya uswahilini.

Kuna mswahili aliniuzia samaki wameoza.. nikaenda mlalamikia.. akasema hao hawajaoza bali wamechina.

Nilicheka sana, nikajua mswahili sio mtu
Kuchina na kuoza yale yale mkuu
 
Samaki wamegeuka rangi na kuwa kama kijani, ukungu(kuvu) ndiyo usiseme halafu wanazungushwa kila soko: leo soko la himo, kesho marangu mara kisambo, mwika then back to himo mkt.
Hao ni samaki tena kweli?
Hiyo ni exhibition sasa 😃
 
Umewahi kununua samaki waliokaangwa wakiwa moto moto halafu ile unafika nyumbani unakuta wameoza wote.
View attachment 3300980
Hivi ndio leo nimeshinda njaa.
Mkiambiwa mle maharage hamtaki. Nilifundishwa protini inayopatikana kwenye nyama na samaki ni sawa na kwenye maharage. Kule Bongoland mtu akikuona unakula maharage au dagaa kauzu anakuita masikini
 
Mkiambiwa mle maharage hamtaki. Nilifundishwa protini inayopatikana kwenye nyama na samaki ni sawa na kwenye maharage. Kule Bongoland mtu akikuona unakula maharage au dagaa kauzu anakuita masikini
Watu wanaogopa kiungulia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…