JamiiCheck
Member
- Nov 3, 2023
- 98
- 122
Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote.
Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya kuchunguza?
Zaidi, tembelea Jukwaa la JamiiCheck kwa kubofya HAPA.