Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote.
Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya kuchunguza?
Zaidi, tembelea Jukwaa la JamiiCheck kwa kubofya HAPA.
Nakumbuka nilisikia eti mtu akiwa hana bandama hacheki, mpaka siku nimemuona mtu aliyepata ajali akatolewa bandama lakini akawa bado anacheka na baadaye nikaona hapa hapa mmeandika ndio nikajua ile ilikuwa kamba nimefugwa.

Israel ni taifa teule lenye nguvu na silaha za kisasa anazopewa na US
Baada ya kuhangaika na kikundi kidogo tu cha Hamas kwa miezi 4 sasa bila kutimiza malengo yake,nimegundua kua zile zilikua ni kamba tu,zionist ni walaini sana tu.