Frenandinho anachokifanya kinaonekana anauwezo mkubwa wa kupiga pasi za madhara kuhusu. Arturo ana assist anafunga pia sana tu je Mao ana offer services gani uwanjani zaidi ya kuchomekea na kupishana na mpira ukienda magharibi yeye mashariki.Mimi ni shabiki wa Man City pale EPL lakini ukiniuliza ni lini Fernandinho alikuwa Man of the match nitashindwa kukujibu labda hadi nikagoogle, pia pale La Liga napenda sana Barca lakini ukiniuliza ni lini Arturo Vidal alikuwa man of the match vile vile nitashindwa kukujibu.
Sasa kuhusu Himid ndio sikumbuki kabisa ata nikigoogle sidhani kama nitapata kama unavyojua sisi sio watu wa kuweka takwimu
Hahah!Uko ni kushuka ngazi utakubariana na mimi tu japo nakujua wewe ni mbishi sana ukiwa na vijana wako kwenye like na comments
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Wadau wanataka kuona skills yani kama hupigi mikasi, kanzu na matobo basi wewe hujuiBongo kuna wachawi wengi sana ndugu yangu amini nakwambia, ikumbuke ile nyimbo ya Sam Hata kwetu wapo ndo utaelewa mkuu.
Yaani mtu hujawahi hata kupiga dana dana, hujawahi hata kufundisha timu hata ya mchangani tu, lakini unakalia kumsema Himidi Mao kuwa hamna kitu.
Makocha wote wanao kuja kuanzia timu ya taifa ya vijana, Azam, Stars wenyewe hadi huko Eygpt kila wanapopanga vikosi panga pangu lakini Himidi Mao Yumo tu, alafu mtu anakuja kuropoka tu et hamna kitu.
Kama sio uchawi kumbe ni nini?
Hawa wadau wengine wa soka hawa tukiwasikiliza sana soka la bongo tutalizika hivi hivi tunaona.
Muweke Mao pembeni niambie kuna kiungo mkabaji gani wa Kitanzania mwenye uwezo huo uliotaja, kutoa assists na kufunga magoli?Frenandinho anachokifanya kinaonekana anauwezo mkubwa wa kupiga pasi za madhara kuhusu. Arturo ana assist anafunga pia sana tu je Mao ana offer services gani uwanjani zaidi ya kuchomekea na kupishana na mpira ukienda magharibi yeye mashariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkude, Fei, Humud, na wengine wengi tuMuweke Mao pembeni niambie kuna kiungo mkabaji gani wa Kitanzania mwenye uwezo huo uliotaja, kutoa assists na kufunga magoli?
Ikiwa ligi inaelekea kufika mwisho unaweza kuniambia Mkude anayo magoli mangapi, au Assists ngapi?
Hawez kukuambia , muulize huyo humud yuko wapi? Kwanini asiwe sehem alipo mao kama anajua ,Ikiwa ligi inaelekea kufika mwisho unaweza kuniambia Mkude anayo magoli mangapi, au Assists ngapi?
Mkuu kwakweli ngoja nitafute .Ikiwa ligi inaelekea kufika mwisho unaweza kuniambia Mkude anayo magoli mangapi, au Assists ngapi?
Kupata takwimu za ligi ya bongo ni kazi sana sema jaribu kutafuta lakini hata ukizipata naimani hutozifurahia maana zitakuwa kinyume na matakwa yako...Mkuu kwakweli ngoja nitafute .
ila unaweza kusema HIMID ni wa maana kuliko JJM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tumeelewa na takwimu zinaweza kuwa sio nzuri sabubu msimu ulikuwa bado kidogo.Kupata takwimu za ligi ya bongo ni kazi sana sema jaribu kutafuta lakini hata ukizipata naimani hutozifurahia maana zitakuwa kinyume na matakwa yako...
Mkude ni fundi zaidi mzee [emoji3].... Ila matatizo yake binafsi ndio tatizo lake kubwa
Mimi hilo silijui ila ukweli wanao Walimu walio na wanaendelea kumtumia
Hivi umesahau magoli ya nje ya box ya himidiFrenandinho anachokifanya kinaonekana anauwezo mkubwa wa kupiga pasi za madhara kuhusu. Arturo ana assist anafunga pia sana tu je Mao ana offer services gani uwanjani zaidi ya kuchomekea na kupishana na mpira ukienda magharibi yeye mashariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichuya?kama sio hater basi hujui mpira wewe. huwezi kwenda misri kwa kubahatisha