Umewahi kuona umuhimu wa Himid Mao kwenye Timu ya Taifa?

Umewahi kuona umuhimu wa Himid Mao kwenye Timu ya Taifa?

Mimi ni shabiki wa Man City pale EPL lakini ukiniuliza ni lini Fernandinho alikuwa Man of the match nitashindwa kukujibu labda hadi nikagoogle, pia pale La Liga napenda sana Barca lakini ukiniuliza ni lini Arturo Vidal alikuwa man of the match vile vile nitashindwa kukujibu.

Sasa kuhusu Himid ndio sikumbuki kabisa ata nikigoogle sidhani kama nitapata kama unavyojua sisi sio watu wa kuweka takwimu
Frenandinho anachokifanya kinaonekana anauwezo mkubwa wa kupiga pasi za madhara kuhusu. Arturo ana assist anafunga pia sana tu je Mao ana offer services gani uwanjani zaidi ya kuchomekea na kupishana na mpira ukienda magharibi yeye mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kua simwelewagi tu, Aya akipangwa team ya taifa naonanaga kama wanacheza 9.....

Baba yake Ni mtu yupo kwenye mifumo ya Mpira wa kitanzania..... AtA kupata team nje Ni uodinary wa baba yake ndo maana Sasa hivi katolewa kiungo anacheza fullbac.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo kuna wachawi wengi sana ndugu yangu amini nakwambia, ikumbuke ile nyimbo ya Sam Hata kwetu wapo ndo utaelewa mkuu.

Yaani mtu hujawahi hata kupiga dana dana, hujawahi hata kufundisha timu hata ya mchangani tu, lakini unakalia kumsema Himidi Mao kuwa hamna kitu.
Makocha wote wanao kuja kuanzia timu ya taifa ya vijana, Azam, Stars wenyewe hadi huko Eygpt kila wanapopanga vikosi panga pangu lakini Himidi Mao Yumo tu, alafu mtu anakuja kuropoka tu et hamna kitu.

Kama sio uchawi kumbe ni nini?
Hawa wadau wengine wa soka hawa tukiwasikiliza sana soka la bongo tutalizika hivi hivi tunaona.
Hahah! Wadau wanataka kuona skills yani kama hupigi mikasi, kanzu na matobo basi wewe hujui
 
Frenandinho anachokifanya kinaonekana anauwezo mkubwa wa kupiga pasi za madhara kuhusu. Arturo ana assist anafunga pia sana tu je Mao ana offer services gani uwanjani zaidi ya kuchomekea na kupishana na mpira ukienda magharibi yeye mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muweke Mao pembeni niambie kuna kiungo mkabaji gani wa Kitanzania mwenye uwezo huo uliotaja, kutoa assists na kufunga magoli?
 
Mkuu kwakweli ngoja nitafute .

ila unaweza kusema HIMID ni wa maana kuliko JJM?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata takwimu za ligi ya bongo ni kazi sana sema jaribu kutafuta lakini hata ukizipata naimani hutozifurahia maana zitakuwa kinyume na matakwa yako...

Mkude ni fundi zaidi mzee 😀.... Ila matatizo yake binafsi ndio tatizo lake kubwa
 
Kupata takwimu za ligi ya bongo ni kazi sana sema jaribu kutafuta lakini hata ukizipata naimani hutozifurahia maana zitakuwa kinyume na matakwa yako...

Mkude ni fundi zaidi mzee [emoji3].... Ila matatizo yake binafsi ndio tatizo lake kubwa
Hapo tumeelewa na takwimu zinaweza kuwa sio nzuri sabubu msimu ulikuwa bado kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Himid ni mzuri kwa sababu yupo 1st ya stars kwa miaka 7 saivi ,ndio kamstaafisha nditi
Frenandinho anachokifanya kinaonekana anauwezo mkubwa wa kupiga pasi za madhara kuhusu. Arturo ana assist anafunga pia sana tu je Mao ana offer services gani uwanjani zaidi ya kuchomekea na kupishana na mpira ukienda magharibi yeye mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umesahau magoli ya nje ya box ya himidi
Hadi wana simba tukamwita ninjah?

Mtu hadi anafikia level ya kuwa assistance captain in national team bado unamfananisha na nanii?
 
Kuna game ya Taifa nafikiri ilikua AFCON jamaa game ilimzidi kuna muda game inaendelea yeye anafunga kamba viatu kilichofuata alicheza faulu za ovyo
 
Back
Top Bottom