Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
- Thread starter
- #41
Frenandinho anachokifanya kinaonekana anauwezo mkubwa wa kupiga pasi za madhara kuhusu. Arturo ana assist anafunga pia sana tu je Mao ana offer services gani uwanjani zaidi ya kuchomekea na kupishana na mpira ukienda magharibi yeye mashariki.Mimi ni shabiki wa Man City pale EPL lakini ukiniuliza ni lini Fernandinho alikuwa Man of the match nitashindwa kukujibu labda hadi nikagoogle, pia pale La Liga napenda sana Barca lakini ukiniuliza ni lini Arturo Vidal alikuwa man of the match vile vile nitashindwa kukujibu.
Sasa kuhusu Himid ndio sikumbuki kabisa ata nikigoogle sidhani kama nitapata kama unavyojua sisi sio watu wa kuweka takwimu
Sent using Jamii Forums mobile app