Umewahi kupigwa/ kupiga/ kumuona mtu akipigwa (kisawa sawa)?

Ilikuwa darasa la sita,tukizinguana shule uwa kuna chimbo maalum lakupigana baada ya kutoka shule.
kuna dogo anaitwa Edy anakichwa flani hivi kikubwa kiasi.
kufika chimbo la kupigana Edy akavuashati, siokwakufungua vishkizo alitaka kuvua kama tshet,kashika shati kwachini akapandisha juu[emoji23]
kwenye kola ya shati pakagoma kupita kwenye kichwa,shati silakmziba macho,pua na mdomo[emoji23]

Edy alipigwa akapigika mpaka akajinyea[emoji23]
kipindi icho kupigana ni mpaka kuputa mchanga,kuvua shati na kuchora mstati[emoji23]
 
Kuna tifu moja hilo la mtaa bhana tulikutana kiwanja ilikuwa xmas bhanaa daah
Tumeluka mziki hapo mishare mibovu kikawaka wana wa mtaa mwingine kakiamsha kwa mwanetu wazeee kudadeq kiliwaka mle ndani mpaka mziki ulizimwa walizi wakaanza kututoa nje hapo njee saa

Kuna chali moja alipigwa mtama mpka lami kutoa vumbiii
Ile moment siwez isahau πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ comments mi hoi
 
Dahhhh.....
Niliwai kumpa kichapo yule jamaa, adi nikamvunja mkono.
Mwisho niliishia kwenda jela na baada ya kutoka niliapa sinto pigana tena katika maisha yangu hapa duniani, maana niligundua naweza kuja kuua aiseeee
Umpige Nani wewe,labda walevi wa gongo
 
Longido sec....

Kuna jamaa alikuwa anaitwa Misalaba alikuwa anasoma PCB. Jamaa alikuwa muongeaji na mjuaji mno. Sasa siku akamchokoza chalii moja ya R chuga, Misalaba alipigwa kichwa kimoja tu, akaparamia viti na meza mpaka chini. Baada ya hapo aliugua hadi akahama shule.
 
Nimekumbuka siku nilipomshuhudia jamaa amepigwa roba anashindwa hata kupumua (kudadadeki)

Afu watu wanamshangilia tu. Ha ha ha ha!
Kama hiyo niliikuta Pasiansi stendi... wapigadebe walikuwa wanagombana...sasa mmoja akamuwahi mwenzie kwa nyuma akamuwahi roba ya nyuma (ng'ombe) alafu akamshika na pumbu...jamaa akawa akitoa roba pumbu zinaminywa..akihamishia mikono kwenye pumbu, roba inakazwa...haikuchukua hata dakika moja jamaa akazirai...
 
Hiyo kali...alimpiga kwa stail za kuzim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…