Umewahi kupitia kipindi gani kigumu kwenye maisha?

Umewahi kupitia kipindi gani kigumu kwenye maisha?

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

Nimepita huko kwingine nikakutana na hii video ya huyu mdada ambaye ni dereva wa bolt, aneleze nyakati ngumu alizopitia katika mapambano ya kujitafuta kimaisha, lakini kikubwa kutoka kwake ni kutokata tamaa
​
"Kupoteza pesa, kupoteza biashara, kupoteza mahusiano, kupoteza ndoa ni sehemu ya maisha. Kwa hiyo it's okay. Kubali kwamba vimepoteza, tuanze upya, tuanze na maisha mengine."

 
Mwaka 2023 ni hatari . Ila kwa hakika nina imani siwezi kuanguka ndugu zangu kama wako hai, naelewa umuhimu wake , hawa marafiki nilikutana nao huko vyuoni , kazini , shule wote ni chawa ,watu wema kwa upande wangu wako Tanga pekee .
 
Wakuu,

Nimepita huko kwingine nikakutana na hii video ya huyu mdada ambaye ni dereva wa bolt, aneleze nyakati ngumu alizopitia katika mapambano ya kujitafuta kimaisha, lakini kikubwa kutoka kwake ni kutokata tamaa
​
"Kupoteza pesa, kupoteza biashara, kupoteza mahusiano, kupoteza ndoa ni sehemu ya maisha. Kwa hiyo it's okay. Kubali kwamba vimepoteza, tuanze upya, tuanze na maisha mengine."
Hata nyakati ngumu hupota. Usikaye tamaa, mtumaini Mungu naye atayanyoosha mapito yako
 
Nilisimamishwa chuo, nikakimbilia Arusha njia pekee nilio Baki NAYO ilikua kutembeza vitumbua mtaani,

Acha nishushe pumzi kidogo huuuuuuuuuu. Natoka bondeni Kwa miguu napotia stendi ndogo nasepa kilombero, napita jaws corner nachapa manjis gas mashuka fire nakimbiza breweries nashuka mlima natokea Pepsi njia panda kwenda njiro nashika road natokea kijenge naunga spanisha tiles soko la madini mnara wa azimio nashuka bondeni, hiyo safari yote Kwa miguu, natembeza vitumbua nipate chochote, sijawashirikisha wazazi Niko man alone.

ZACHARIA jr environment maintenance, nipo Kwa AJILI ya kuhakikishia mazingira ni masafi na matulivu ukini book nashuka na kikosi kazi KWA AJILI ya kihakikisha dawa inapulizwa majani yana katwa maua yanapangwa na una Baki kwenye mazingira tulivu
 
Back
Top Bottom