Naona ulikuwa unateseka kuhudumia mkuu wala sio kupendwa.Kuna wakati nilikua na mademu kama watano hivi alafu wote wananipenda, niliteseka sana
Kuhudumia kitandani, avarage ya bao tano kwa sikuNaona ulikuwa unateseka kuhudumia mkuu wala sio kupendwa.
NIlishaacha kitambo mahusiano zaidi ya mtu mmoja.Kuhudumia kitandani, avarage ya bao tano kwa siku
Sasa hivi sina uhusiano kabisa, nadonoa donoa tuNIlishaacha kitambo mahusiano zaidi ya mtu mmoja.
Unapoteza energy nyingi
Unapoteza muda
Unapoteza pesa
Muda wote unaishi kwa wasiwasi
Umakini kwenye kazi unakuwa mdogo
Ubaya wa maumivu ukiyaendekeza hufanya mwili nao uzoeeMimi tokea siku ile mama anafariki ile 1988 mpaka leo sijawahi simama aisee!
Jana tu nilikuwa nawaza ni nani ambae amefanya kosa athabu naibeba mimi, maana ningekuwa hizi adhabu nazozipata zingetokea hivi karibuni kwenye ukubwa wagu ngesema ni makosa yangu!
Lakini tokea siku ile nazaliwa hadi leo sijawahi kuwa comfort zone.
Mbaya zaidi kuna walio tokana na mimi nahisi huu mnyororo unaweza kuwa mwendelezo! Naumia mno.
Siku izii NIMEKUA namuwaza sana baba.2017 niliwapoteza wazee wangu wote wawili. Mungu ni mwema bado nipo ngangari naendeleza walipoishia!
Yah,Mungu yupo na anatupenda sana,unaweza kupitia magumu halafu siku moja unajikuta umeketi na wakuu, mpaka huamini uliwezaje kuvuka vikwazo vigumu namna ile...Kuna msichana mmoja ambaye sijui hata mpaka leo nilimpendea nini maana ninamchukia lakini bado mwili na roho yangu anavichukua muda wowote akiamua tu... Aisee mwaka 2023 mwishoni tulijikuta tunarushiana maneno na nilidhani nimemshinda kumbe nilikuwa najitonesha maumivu yangu mwenyewe bila kujua... Nilipitia maumivu mabaya na nikaquestion maisha yangu sana, mpaka nikaanza kupractice mambo ya spiritual Enlightenment aisee sijui hii connection na huyu manzi ilitokea wapi.
Nakumbuka pia mwaka fulani nikiwa mbeya nilipigwa ndumba ambayo ilinifanya nihisi hapa sichomoki kabisa...
Ila nilikuja kuamini ya kuwa nguvu ya Mungu iko ndani yangu, baada ya kunivusha katika hayo yote. Kuna muda utajua Mungu yupo na utaona kuuliza uwepo wake ni ujinga
Mshukuru Mungu kwa kika hatua dont blame anyone dont blame God, mpe Mungu imani tena yeye ni mwaminifu mpe maisha yakoMimi tokea siku ile mama anafariki ile 1988 mpaka leo sijawahi simama aisee!
Jana tu nilikuwa nawaza ni nani ambae amefanya kosa athabu naibeba mimi, maana ningekuwa hizi adhabu nazozipata zingetokea hivi karibuni kwenye ukubwa wagu ngesema ni makosa yangu!
Lakini tokea siku ile nazaliwa hadi leo sijawahi kuwa comfort zone.
Mbaya zaidi kuna walio tokana na mimi nahisi huu mnyororo unaweza kuwa mwendelezo! Naumia mno.
Hakika.Yah Mungu yupo na anatupenda sana,unaweza kupiria magumu halafu siku moja unajikuta umeketi na wakuu, mpaka huamini uliwezaje kuvuka vikwazo vigumu namna ile...
Kuna msemo huwa naupenda sana unasema hivi Mungu akikupenda atakuumiza, huo msemo una maana kubwa sana so ukishajua hilo basi amini mapito yako ni Mungu ameruhusu na ana kusudi nawe usimlaumu wewe mshukuru tu utajikuta siku yako inabadilishwa hutaamini,unakutana na mtu tu anakuamini maisha yako yanabadilika kuanzia hapoYah,Mungu yupo na anatupenda sana,unaweza kupitia magumu halafu siku moja unajikuta umeketi na wakuu, mpaka huamini uliwezaje kuvuka vikwazo vigumu namna ile...