Nilisimamishwa chuo, nikakimbilia Arusha njia pekee nilio Baki NAYO ilikua kutembeza vitumbua mtaani,
Acha nishushe pumzi kidogo huuuuuuuuuu. Natoka bondeni Kwa miguu napotia stendi ndogo nasepa kilombero, napita jaws corner nachapa manjis gas mashuka fire nakimbiza breweries nashuka mlima natokea Pepsi njia panda kwenda njiro nashika road natokea kijenge naunga spanisha tiles soko la madini mnara wa azimio nashuka bondeni, hiyo safari yote Kwa miguu, natembeza vitumbua nipate chochote, sijawashirikisha wazazi Niko man alone.
ZACHARIA jr environment maintenance, nipo Kwa AJILI ya kuhakikishia mazingira ni masafi na matulivu ukini book nashuka na kikosi kazi KWA AJILI ya kihakikisha dawa inapulizwa majani yana katwa maua yanapangwa na una Baki kwenye mazingira tulivu