Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Kabisa mkuuDuh Kuna watu Wana shida Sana aisee acha tu tushukuru kwa Mungu alichotujalia
Pole mkuu, Mungu akufanyie wepesiNdo nao pitia saa hii
Nimateso yasiyo kifani
Kwakwel Kila mtu atamwaga machoz Kwa namna yakeKila mtu ana matatizo yake kila mtu umwaga chozi kwa
Kuna mtu km mm umaskin wakuniliza Sina,ila nilipigwa matukio ata sikuona Kaz ya pesa zote nilizonazo mm na familia yangu yote,Toka hapo Hadi kesho nmekua mtu wakuigiza furaha tuu ila furaha halisi haipo,nmekua wakulia na sijui km nitakuja sahau au nitalia daiama ad nakufa.Kwakwel Kila mtu atamwaga machoz Kwa namna yake
Mateso hajawai kukomaKwakwel Kila mtu atamwaga machoz Kwa namna yake
Pole sana mkuu, usithubutu kukata tamaa, Mungu yu pamoja nawe, iko siku atakupa hitaji la moyo wakoNdo wakati ninaopitia kwa sasa, Tangu mwaka huu umeanza niko vibaya kiuchumi hadi nahatarisha ustawi wa familia yangu, sina kazi, sina hela, sina furaha wala amani, umasikini umebisha hodi mlangoni kwangu
Sometimes najuta kwa nini nilizaliwa, sijui natokaje kwenye hili dimbwi la umasikini
Amen,Asante kwa hii farajaPole sana mkuu, usithubutu kukata tamaa, Mungu yu pamoja nawe, iko siku atakupa hitaji la moyo wako
Kweli mkuuUzuri kwenyee maishaa HAKUNA HALI INAYODUMU