Golden dust
Member
- Sep 10, 2024
- 55
- 127
Hapo ndipo nilipojifunza kuwa sitakiwi kumlaumu mtu yoyote yule katika maisha haya.kikubwa ni kumuomba sana MUNGU na kuzidi kujipambania mwenyewe…!
Wakishua msoto mnausikia tu love.Hapana sweetheart...