Bado uko songea?
Mshukuru sana Mungu wako.Sijawai
Sasa kama huyo Mungu anapitisha watu kwenye shida, Shetani yeye Huwa anapitisha watu kwenye nini ? Je ubaya wa Shetani ni niniSometimes Mungu anatupitisha kwenye tanuru la moto ili tuujue ukuu wake.
Yani kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka unahisi Mungu kakufungia vioo.
Sitokaa niusahau mwaka 2021.
Nashukuru Mungu nilisimama tena.
Usithubutu kukata tamaa kaza mpk kieleweke pia jitaidi kufanya ibada njia zitafunguka hutoamini itabaki story amini nikwambiayo ndg!Ndo wakati ninaopitia kwa sasa, Tangu mwaka huu umeanza niko vibaya kiuchumi hadi nahatarisha ustawi wa familia yangu, sina kazi, sina hela, sina furaha wala amani, umasikini umebisha hodi mlangoni kwangu
Sometimes najuta kwa nini nilizaliwa, sijui natokaje kwenye hili dimbwi la umasikini
Amen mkuu, asante kwa ushauri wako, ntaufanyia kaziUsithubutu kukata tamaa kaza mpk kieleweke pia jitaidi kufanya ibada njia zitafunguka hutoamini itabaki story amini nikwambiayo ndg!
Sasa kama huyo Mungu anapitisha watu kwenye shida, Shetani yeye Huwa anapitisha watu kwenye nini ? Je ubaya wa Shetani ni nini
[/QUOT
Sababu ni
1. Mungu anatupa fursa ya kuonesha jinsi tunavyompenda(Akupendaye kwa dhiki ndiye rafiki)
2. Kutuhamisha ngazi ya maisha ambapo ni lazima kuna watu au vitu tulivyo navyo viondoke ili Mungu atupe vipya(vya kwake)
Tangu nilipojua sababu hizi hata linikute jambo gani nitaendelea kumshukuru Mungu daima!
Hela haitafutwi na ukiitafuta hautaipata kamwe.Umasikini ni kitu kibaya sana,
-Utadharauliwa
-Utasimangwa hata na watu wako wa karibu
-Utaaibishwa na kudhihakiwa
-Hakuna atakaekujali kwa sababu huna kitu
-Kwenye vikao vya ukoo huwezi kuwa na sauti, ukiongea utaonekana unataka kuleta fujo
In short ndugu zanguni tutafute pesa kama vile tumezipoteza, ipo siku milango ya baraka itafunguka na heshima yako itarejea kama kawaida.
Nb. Mungu ni wetu sote.
View attachment 3396569
Huko pekee yako mkuu pambana Hadi utusue.Ndo nao pitia saa hii
Nimateso yasiyo kifani
Aiseedah inafikia hatua unawalaumu walokuleta duniani bila hiali yako,chamsingi ukishafika kwenye dunia hii ni kukaza tu hakuna kuludi nyuma matatizo ni sehemu ya maisha yetu kuna vipindi vichache vya kicheko na vipindi virefu vya majuto.
Hujajibu mada umewahi pitia msoto???
Hapana sweetheart...Hujajibu mada umewahi pitia msoto???
Mie hapana