Umewahi kupitia msoto maishani hadi ukajuta kuzaliwa?

Hapo ndipo nilipojifunza kuwa sitakiwi kumlaumu mtu yoyote yule katika maisha haya.kikubwa ni kumuomba sana MUNGU na kuzidi kujipambania mwenyewe…!
 
Ukisema Mungu amekuacha unakosea maana sote anatupenda na humbariki kila mtu kwanafasi yake sote tutafikiwa kila mmoja Mungu atambariki kila mmoja msikate tamaa, mwanzo wa kukata tamaa ndiyo mwanzo wa kuongeza shida nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…