luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
wapi tu wapi mkuuMara 9
ni kutokana na majira tuDunia ya ajabu sana Italy jua linazama saa nne usiku nilishangaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
mim nilifika Melbourne na Turkish airlines kutokea GermanyAbu Dhabi to Sydney, Australia na Emirates 14 hrs
ulionaje baridi na upepo mkali wa Austrália? mm nilifika Melbourne na Turkish airlinesDuh hii inanikumbusha nilitoka doha qatar mpaka perth australia. Militumia masaa 11. Hapo no baada ya kutumia masaa 6 kukoka dar mpaka doha qatar. Amazing sana mkuu hii safari. Wew utakuwa ulitumia south africa airways
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawaaa stay tuned
Hatar sana mkuu. Mimi nilitumia qatar. Nilikaa kwenye ndege mpaka mikasahau kama nipo kwenye ndege. Nilitoka doha saa 9 usiku ila mpaka leo sijui yale masaa pale kati yalikuaje. Maana niltoka 9 usiku nikaingia australia saa 12 jioni siku inayofuata. Wakati nafika nikajua ni saa 12 asubuhi nikawa nataka nioge nibadilishe nguo nikapige mitaa. Mwenyeji wangu akacheka sana. Akaniambia ni saa 12 jioni inabidi nigonge msosi na nijiandae kulala sio kwenda kupiga mitaa. Dah nilichoka mkuu nikasema kumbe nimekaa masaa yote hayo kwenye pipa. Mungu mkubwa sasaulionaje baridi na upepo mkali wa Austrália? mm nilifika Melbourne na Turkish airlines
Lengo lilikuwa nimchekeshe tu boss kama ulinisoma vizuriMbona route iko sawa tu Mkuu? Hakuna mji wa ulaya hapo, ni AFRIKA-ASIA-Australia
Hakuna transit hapo! Hiyo ni direct flight kutoka Johannesburg hadi Sydney!
Nilitumia Quanta airways wakati wa kwenda. Ila wakati wa kurudi nilitumia SA airways hivyo tulitoka Sydney kupitia Perth hadi Johannesburg.Duh hii inanikumbusha nilitoka doha qatar mpaka perth australia. Militumia masaa 11. Hapo no baada ya kutumia masaa 6 kukoka dar mpaka doha qatar. Amazing sana mkuu hii safari. Wew utakuwa ulitumia south africa airways
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitumia Quanta airways wakati wa kwenda. Ila wakati wa kurudi nilitumia SA airways hivyo tulitoka Sydney kupitia Perth hadi Johannesburg.
unachoka hadi unataman isimame utembee hahahahaHatar sana mkuu. Mimi nilitumia qatar. Nilikaa kwenye ndege mpaka mikasahau kama nipo kwenye ndege. Nilitoka doha saa 9 usiku ila mpaka leo sijui yale masaa pale kati yalikuaje. Maana niltoka 9 usiku nikaingia australia saa 12 jioni siku inayofuata. Wakati nafika nikajua ni saa 12 asubuhi nikawa nataka nioge nibadilishe nguo nikapige mitaa. Mwenyeji wangu akacheka sana. Akaniambia ni saa 12 jioni inabidi nigonge msosi na nijiandae kulala sio kwenda kupiga mitaa. Dah nilichoka mkuu nikasema kumbe nimekaa masaa yote hayo kwenye pipa. Mungu mkubwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
unachoka hadi unataman isimame utembee hahahaha
alafu maeneo hayo ndege huwa inaogopesha Sana huwa inakuwa Kama inaruka mabamsi,nilipouliza wakasema ni kawaida kwakuwa ni ukanda wa bahari kunakuwa na gravitational force
Overunder/over??
Atakuwa kachanganya na etihad
South African airway hawana direct flight kwenda Sydney, wanaishia Perth unaunganisha virgin air kwenda SydneyHakuna transit hapo! Hiyo ni direct flight kutoka Johannesburg hadi Sydney!