Umewahi kusafiri masaa mangapi na ndege

Umewahi kusafiri masaa mangapi na ndege

kutoka Munich hadi Melbourne via Manila ni mziki mnene karibu masaa 18
ndiyo Safari ndefu nilyosafiri
mwezi April Mungu akijalia nitasafiri Germany to Rio de Janeiro via Montréal
 
Duh hii inanikumbusha nilitoka doha qatar mpaka perth australia. Militumia masaa 11. Hapo no baada ya kutumia masaa 6 kukoka dar mpaka doha qatar. Amazing sana mkuu hii safari. Wew utakuwa ulitumia south africa airways

Sent using Jamii Forums mobile app
ulionaje baridi na upepo mkali wa Austrália? mm nilifika Melbourne na Turkish airlines
 
Hatar sana mkuu. Mimi nilitumia qatar. Nilikaa kwenye ndege mpaka mikasahau kama nipo kwenye ndege. Nilitoka doha saa 9 usiku ila mpaka leo sijui yale masaa pale kati yalikuaje. Maana niltoka 9 usiku nikaingia australia saa 12 jioni siku inayofuata. Wakati nafika nikajua ni saa 12 asubuhi nikawa nataka nioge nibadilishe nguo nikapige mitaa. Mwenyeji wangu akacheka sana. Akaniambia ni saa 12 jioni inabidi nigonge msosi na nijiandae kulala sio kwenda kupiga mitaa. Dah nilichoka mkuu nikasema kumbe nimekaa masaa yote hayo kwenye pipa. Mungu mkubwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh hii inanikumbusha nilitoka doha qatar mpaka perth australia. Militumia masaa 11. Hapo no baada ya kutumia masaa 6 kukoka dar mpaka doha qatar. Amazing sana mkuu hii safari. Wew utakuwa ulitumia south africa airways

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitumia Quanta airways wakati wa kwenda. Ila wakati wa kurudi nilitumia SA airways hivyo tulitoka Sydney kupitia Perth hadi Johannesburg.
 
Hiyo route naijua pia. Zipo 3 main routes kama unaenda ustralia ukitokea tz. Dar-doha-austalia au dar-dubai-australia ama dar-johannesburg-australia. Hapo utatumia qatar airways, emirates au south african airways.
Nilitumia Quanta airways wakati wa kwenda. Ila wakati wa kurudi nilitumia SA airways hivyo tulitoka Sydney kupitia Perth hadi Johannesburg.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatar sana mkuu. Mimi nilitumia qatar. Nilikaa kwenye ndege mpaka mikasahau kama nipo kwenye ndege. Nilitoka doha saa 9 usiku ila mpaka leo sijui yale masaa pale kati yalikuaje. Maana niltoka 9 usiku nikaingia australia saa 12 jioni siku inayofuata. Wakati nafika nikajua ni saa 12 asubuhi nikawa nataka nioge nibadilishe nguo nikapige mitaa. Mwenyeji wangu akacheka sana. Akaniambia ni saa 12 jioni inabidi nigonge msosi na nijiandae kulala sio kwenda kupiga mitaa. Dah nilichoka mkuu nikasema kumbe nimekaa masaa yote hayo kwenye pipa. Mungu mkubwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
unachoka hadi unataman isimame utembee hahahaha
alafu maeneo hayo ndege huwa inaogopesha Sana huwa inakuwa Kama inaruka mabamsi,nilipouliza wakasema ni kawaida kwakuwa ni ukanda wa bahari kunakuwa na gravitational force
 
hivi safari ya masaa kama 10 inaweza kuwa shiling ngapi nisaidieni wakuuu nataka kujimeki nipande ndege na mm niambieni niandae pesa ngapi na ya matumizi.
 
Hakuna transit hapo! Hiyo ni direct flight kutoka Johannesburg hadi Sydney!
South African airway hawana direct flight kwenda Sydney, wanaishia Perth unaunganisha virgin air kwenda Sydney
 
Back
Top Bottom