Umewahi kusafiri masaa mangapi na ndege

Umewahi kusafiri masaa mangapi na ndege

Mh mjumbe.....
Leo nimelazimika kuchutama kwenye hadharani...[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Eti nasikia JF karibia kila mtu ameshawahi kupanda ndege, sisi wengine mateja tukikatiza tu eapoti tunadakwa na mbwa wanusa dawa🙄
 
Dar-Doha-Singapore- Sydney- New Zealand..Dah masaa kama yote
😂😂😂 Ndege hiyo balaa inakutoa Africa inakupeleka Asia kisha inakupeleka ulaya kisha Australia duh! kwenye mabasi kuna kamsemo chetu cha kufaulishwa na kwenye ndege kapo?😂😂😂
 
Umewahi kuonja raha ya kusafiri na Ndege Kwa masaa mangapi hewani.toa ushuhuda

Sent using Jamii Forums mobile app

Masaa kwa safari moja au jumla ya masaa yote ya safari zote tangu kuzaliwa?

Mimi binafsi kwa safari moja nimewahi kaa angani kwa masaa 10 mfululizo na kwa jumla ya safari zote kwakweli siwezi hesabu maana ndege ndo usafiri wangu mkubwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom