Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 905
- 872
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekwambia nilitumia Quanta airways wakati wa kwenda!South African airway hawana direct flight kwenda Sydney, wanaishia Perth unaunganisha virgin air kwenda Sydney
South African airway hawana direct flight kwenda Sydney, wanaishia Perth unaunganisha virgin air kwenda Sydney
Kweli amazing hata mm napenda kusafiri na ndege usikuNilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa saa za Australia!
Direct flight via dubai duh, sijaaisikia hi11 hours!!1. From dar to Ethiopia 3 hours
2.Ethiopia to shanghai 11 hours,direct flight via Dubai
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu abudhabi toka dar huwa inatua etihad pekee, hiyo route pia nishapita, huwezipata ndege inatoka dar kwenda abudhabi. Wana ndege zaondogo kama airbus a320 ukifika hapo unakutana na a380 kwenda miji yenye wateja wakubwa
Abu to sydney sawa zipo ila sio emiratesAbu Dhabi to Sydney, Australia na Emirates 14 hrs
Long time ago ilikuwa lakini hayo mashirika ya Middle East. Hilo nina uhakika.
mmh I'll ba back soon
Ukipanda ndege za Ethiopian ni kama umepanda Yutong luxury bus.Hope wazee wa ma yutong,zhongtong,scania,higer,kinglong,Asia star..na wenzake huu Uzi hautuhusu..
Mji gani na ndege gani hiyo masaa 23
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilitaka kujibu 3 kumbe ni mambo ya ndege?. Mi nazionaga tu you tube.