Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

1741799325164.jpg
 
Monica kabisa nilimuamini nikamwambia asitangaze nina kibamia akaenda kuambia rafikizake eti nina kibamia hata hakiwezi kutengeneza mlenda monica yani monica we wa kunifanyia hivi ngoja utayatimba 🙁
kwahio sahivi unatumia tiba ya nyuki moja siyo?
 
Monica kabisa nilimuamini nikamwambia asitangaze nina kibamia akaenda kuambia rafikizake eti nina kibamia hata hakiwezi kutengeneza mlenda monica yani monica we wa kunifanyia hivi ngoja utayatimba 🙁
Ulimwambia au alikiona 😅😅😅
 
Monica kabisa nilimuamini nikamwambia asitangaze nina kibamia akaenda kuambia rafikizake eti nina kibamia hata hakiwezi kutengeneza mlenda monica yani monica we wa kunifanyia hivi ngoja utayatimba 🙁
Hahahahah moto ushawaka tayarii 😅
 
Kuna jamaa yangu, kipindi Hiko nasoma SAUT

Alikuwa ni kama mdogo angu, ukizingatia nilimtangulia mwaka mmoja na hostel alipofikia Mimi ndo nilikuwa msimamizi wa hostel.

Basi bhana, siku moja akaja na rafiki zake wakike! Nikatokea kumuelewa mmoja!

Enzi hizo Bado Kijana, 😂 nikaamfukuzia yule manzi ila akanipa masharti, niache pombe ndo atanikubali! ... Sikuacha na alinikubali

Ila ki ukweli yule manzi alinisaidia Mimi kubadilika kitabia ... Sasa penzi likawa yanta yanta!

Ila si unajua kama watu wa pwani walinavyosema, kifimbo kikisimama hakiwezi kulala bila kucheza 😂.

Sasa nikashangaa yule manzi angu, anajua Kila ufuksa ninaofanya hasa akienda likizo! Nikasema ni nani huyu anavujisha Siri za Kambi?

Siku moja nikamwita dogo, tukaenda kunywa Kisha nikampa story ya uwongo juu ya yule manzi! Ambayo sikumpa mtu yoyote zaidi yake

😂 Asubuhi tu manzi anasema naskia ulisema Moja mbili tatu ... Nikamwambia nani kakwambia? Akagoma kusema!

Nikajua huyu dogo ndo frijii bovu langu.
 
Back
Top Bottom