Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

Juzi nimegundua girlfriend wangu alitoa mimba 2023 ,tena hiyo mimba ilikua ya rafiki angu yaani yule mwanangu kabisa ambaye nilikua namuamini kinoma.
Jamaangu sijamwambia ila nimempunguza nadhani yule binti atamwambia.
Mipango ya kumuoa binti imeishia hapo
 
Swali la nyiongeza mkuu : baada ya hiyo situation kutokea ulisurvive vipi? how did you respond on it
Niliendelea na maisha yangu japo nilionekana nina hatia kwa baadhi ya watu.
Na baada ya miaka 2 nilihamia Mbezi na kuendelea na maisha yangu mapya.
Uchumba ulikufa rasmi na sikuwahi kumuona mpaka leo yule mwanaume msaliti
 
duh sorry for that
 
Kuna mtu nimepa siri yangu humu JF nasubiri tu aimwage nibadili ID msinione tena 🤣🤣😂😂😂
 
Miaka kadhaa nyuma......

Nilikuwa na mchumba wangu kipenzi niliyepanga kufunga naye NDOA......

Nilimtambulisha kwa rafiki yangu kipenzi kwake....yule mchumba alikuwa fundi nguo..... matokeo yake rafiki yangu akawa mara nyingi namkuta ofsini kwa Shemeji yake.....

Mara namuona ghafla swahiba wangu kana ananikwepa hivi sio kama zamani...na mchumba naye akawa kama haeleweki hivi sio kama zamani......

Nikajisemea labda ni hali tu ya kibinadamu maana mwanadamu hafanani siku zote....nikamfanyia surprise nikapeleka barua kwao......cha ajabu barua yangu ikakataliwa na yeye akaanza kunilaumu kuwa kwanini nimepeleka barua sikumuambia......

Mshenga wangu akaniambia kuwa kule kwao barua yangu imekataliwa na mchumba amepeleka barua ya mtu mwingine....mpaka kufikia hapo sikuwa najua kuwa rafiki yangu ndio kanipindua.....

Nimekuja kugundua baada ya kuambiwa na watu na Yule rafiki automatic akawa yupo mbali na mimi.....

Basi mwisho wa siku wakafunga NDOA......

NB;
Usimuweke karibu mkeo/mumeo na rafiki yako kwani moyo wa mtu ni kiza kinene na shetani IBILISI ana nguvu Sana......
 
Jamaa yako alitumia mbinu ya hivi
Screenshot_20250313-000556~2.jpg
 
Nilikuwa na rafiki yangu wa kufa na kuzikana anaitwa Rukia kipindi tunaishi Boko-Basihaya.
Nilimtambulisha kwa shemeji yake (mwanaume wangu) ila sijui walikutana wapi Rukia na mwanaume wangu, wakalalana na kupeana mimba.
Ni long story ila kiufupi tu ni kwamba Rukia na mwanae walifariki ajalini miaka 2 mbele na yule mwanaume mpaka leo sijui alipo maana imepita miaka 16 tangu tukio litokee.

Kwa walioishi Boko-Basihaya miaka ile karibu na grocery ya mama Junior mitaa ya kwa kina Kirumbi watakuwa wanakumbuka tukio hilo.

Watu wengi walisema kuwa mimi nilihusika na ile ajali.
Ila kuchukuliwa mwanaume na rafiki ambae lenu lilikuwa moja inauma sana.
Hapo ndipo nilipowajua waganga wa kulipiza visasi.
Usimwamini mtu mkuu
 
Anayekuangamiza ni mtu wako wa karibu sana
 
Mungu wangu
 
Nilichogundua kwenye huu uzi kila mtu alisalitiwa na hakuna wasaliti.

Humu JF hakuna wasaliti na wasaliti hawana smartphones, kama wanazo basi hawajajiunga JF
 
Miaka kadhaa nyuma......

Nilikuwa na mchumba wangu kipenzi niliyepanga kufunga naye NDOA......

Nilimtambulisha kwa rafiki yangu kipenzi kwake....yule mchumba alikuwa fundi nguo..... matokeo yake rafiki yangu akawa mara nyingi namkuta ofsini kwa Shemeji yake.....

Mara namuona ghafla swahiba wangu kana ananikwepa hivi sio kama zamani...na mchumba naye akawa kama haeleweki hivi sio kama zamani......

Nikajisemea labda ni hali tu ya kibinadamu maana mwanadamu hafanani siku zote....nikamfanyia surprise nikapeleka barua kwao......cha ajabu barua yangu ikakataliwa na yeye akaanza kunilaumu kuwa kwanini nimepeleka barua sikumuambia......

Mshenga wangu akaniambia kuwa kule kwao barua yangu imekataliwa na mchumba amepeleka barua ya mtu mwingine....mpaka kufikia hapo sikuwa najua kuwa rafiki yangu ndio kanipindua.....

Nimekuja kugundua baada ya kuambiwa na watu na Yule rafiki automatic akawa yupo mbali na mimi.....

Basi mwisho wa siku wakafunga NDOA......

NB;
Usimuweke karibu mkeo/mumeo na rafiki yako kwani moyo wa mtu ni kiza kinene na shetani IBILISI ana nguvu Sana......
Huyu Demu alikuwa kimeo, Mungu amekuepusha na dhahama ya mbele
 
Back
Top Bottom