Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

Yes, msiri wako na BFF wako anakuja kukusaliti kisa pesa, inauma sana.
Haya, kazikwa bila hata thumni mwilini.
Hapo ndipo nilipoanza kuwajua waganga wa kulipiza visasi.
Hapa kuna kitu huelezi, kwamba ulienda kwa waganga kumwondoa au nini?
 
Kisa cha mwanaume kuvaa shanga kuwatafuna wanawake wa mtaa wote.siri ilikuwa kila mwanamke aliambiwa jamaa ana vaa shanga
 
Nilichogundua kwenye huu uzi kila mtu alisalitiwa na hakuna wasaliti.

Humu JF hakuna wasaliti na wasaliti hawana smartphones, kama wanazo basi hawajajiunga JF
Huu uzi unataka waliosalitiwa sio wasaliti. Sisi wasaliti tuwe wavumilivu uzi wetu utakuja tutajielezea kwanini tuliwasaliti hawa wanaotoa ushuhuda hapa.
 
Kisa cha mwanaume kuvaa shanga kuwatafuna wanawake wa mtaa wote.siri ilikuwa kila mwanamke aliambiwa jamaa ana vaa shanga
Halafu kuna wanaume kweli wanavaa shanga😂😂😂Kagera huko.
 
Hapa kuna kitu huelezi, kwamba ulienda kwa waganga kumwondoa au nini?
Siwezi kuwa muongo, ndio nilienda ili kulipa kisasi kwani sikuwa na njia nyingine ya kufanya ili kufuta ushahidi!!
 
Ungeanza ww ingependeza.
Nitarudi
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom