Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

Kawaida sana hiyoπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

Tena akaunda na zengwe nifukuzwe ingali yeye ndo alinifundisha πŸ˜‚πŸ€£
 
Monica kabisa nilimuamini nikamwambia asitangaze nina kibamia akaenda kuambia rafikizake eti nina kibamia hata hakiwezi kutengeneza mlenda monica yani monica we wa kunifanyia hivi ngoja utayatimba πŸ™
kwahio sahivi unatumia tiba ya nyuki moja siyo?
 
Monica kabisa nilimuamini nikamwambia asitangaze nina kibamia akaenda kuambia rafikizake eti nina kibamia hata hakiwezi kutengeneza mlenda monica yani monica we wa kunifanyia hivi ngoja utayatimba πŸ™
Ulimwambia au alikiona πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Monica kabisa nilimuamini nikamwambia asitangaze nina kibamia akaenda kuambia rafikizake eti nina kibamia hata hakiwezi kutengeneza mlenda monica yani monica we wa kunifanyia hivi ngoja utayatimba πŸ™
Hahahahah moto ushawaka tayarii πŸ˜…
 
Kuna jamaa yangu, kipindi Hiko nasoma SAUT

Alikuwa ni kama mdogo angu, ukizingatia nilimtangulia mwaka mmoja na hostel alipofikia Mimi ndo nilikuwa msimamizi wa hostel.

Basi bhana, siku moja akaja na rafiki zake wakike! Nikatokea kumuelewa mmoja!

Enzi hizo Bado Kijana, πŸ˜‚ nikaamfukuzia yule manzi ila akanipa masharti, niache pombe ndo atanikubali! ... Sikuacha na alinikubali

Ila ki ukweli yule manzi alinisaidia Mimi kubadilika kitabia ... Sasa penzi likawa yanta yanta!

Ila si unajua kama watu wa pwani walinavyosema, kifimbo kikisimama hakiwezi kulala bila kucheza πŸ˜‚.

Sasa nikashangaa yule manzi angu, anajua Kila ufuksa ninaofanya hasa akienda likizo! Nikasema ni nani huyu anavujisha Siri za Kambi?

Siku moja nikamwita dogo, tukaenda kunywa Kisha nikampa story ya uwongo juu ya yule manzi! Ambayo sikumpa mtu yoyote zaidi yake

πŸ˜‚ Asubuhi tu manzi anasema naskia ulisema Moja mbili tatu ... Nikamwambia nani kakwambia? Akagoma kusema!

Nikajua huyu dogo ndo frijii bovu langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…