permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hapa kuna kitu huelezi, kwamba ulienda kwa waganga kumwondoa au nini?Yes, msiri wako na BFF wako anakuja kukusaliti kisa pesa, inauma sana.
Haya, kazikwa bila hata thumni mwilini.
Hapo ndipo nilipoanza kuwajua waganga wa kulipiza visasi.
Huu uzi unataka waliosalitiwa sio wasaliti. Sisi wasaliti tuwe wavumilivu uzi wetu utakuja tutajielezea kwanini tuliwasaliti hawa wanaotoa ushuhuda hapa.Nilichogundua kwenye huu uzi kila mtu alisalitiwa na hakuna wasaliti.
Humu JF hakuna wasaliti na wasaliti hawana smartphones, kama wanazo basi hawajajiunga JF
Halafu kuna wanaume kweli wanavaa shanga😂😂😂Kagera huko.Kisa cha mwanaume kuvaa shanga kuwatafuna wanawake wa mtaa wote.siri ilikuwa kila mwanamke aliambiwa jamaa ana vaa shanga
Wasukuma wa kinyantuzu ndio wana vaa shangaHalafu kuna wanaume kweli wanavaa shanga😂😂😂Kagera huko.
siri ziko kwa watu sahihi, Kama wakili wa familia au maktaba ya familia.Unashare nae Siri zako?
Ndio hivoMungu wangu
Siwezi kuwa muongo, ndio nilienda ili kulipa kisasi kwani sikuwa na njia nyingine ya kufanya ili kufuta ushahidi!!Hapa kuna kitu huelezi, kwamba ulienda kwa waganga kumwondoa au nini?