Umewahi kushindwa kufanya mapenzi ukiwa na mpenzi wako chumbani, uliamua nini baada ya hapo?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
mathalani,
kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa,
mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa tendo, halafu hakuna kinachowezekana, moja haikai, mbili haikai, na huelewi wala hujui sababu ni nini, hamu na mshawasha wa kugegedana umekata....

uliwahi kupitia dhahama hii?ulifanyaje,
na ulitokaje kwenye mazingira hayo ya fedheha kisaikolojia?🐒

Tunza afya yako, epuka Nyeto..
 
Ukiona Ivo ushaa zeeka mawazo ni mengi
Unatakiwavuache kuangaika na ngono
 
Sasa wakuu nashangaa watu mnavyo kimbilia kuwaza nyeto inaweza kuwa sababu ila mpaka sasa kwenye research bado ipo 50/50 wengine wanaprove wrong wengine sawa ila yote ya yote

Tujitaidi kutuliza mawazo yetu maana hii hii nyeto inawaokoa vijana na gono sugu hivyo chukueni tahadhari sana kipindi mnajipimia ili msiharibu wakati wa mechi

Nje ya mada mimi bikira wa kiume so sina experience yeyote na niliyosema 🤣🤣🤣🤣

Sent using my iphone21 pro max
 
Sasa wakuu nashangaa watu mnavyo kimbilia kuwaza nyeto inaweza kuwa sababu ila mpaka sasa kwenye research bado ipo 50/50 wengine wanaprove wrong wengine sawa ila yote ya yote

Tujitaidi kutuliza mawazo yetu maana hii hii nyeto inawaokoa vijana na gono sugu hivyo chukueni taadhari sana kipindi mnajipimia ili musiharibu wakati wa mechi

Nje ya mada mimi bikira wa kiume so sina experience yeyote na niliyosema 🤣🤣🤣🤣

Sent using my iphone21 pro max
😂😂😂😂
Bikra wa kiume
 
mathalani,
kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa,
mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa tendo, halafu hakuna kinachowezekana, moja haikai, mbili haikai, na huelewi wala hujui sababu ni nini, hamu na mshawasha wa kugegedana umekata....

uliwahi kupitia dhahama hii?ulifanyaje,
na ulitokaje kwenye mazingira hayo ya fedheha kisaikolojia?🐒

Tunza afya yako, epuka Nyeto..
Mkuu,
Nimekuja mbio mbio nikajua ntakutana na kisa chako japo kimoja mkuu😊
Kumbe wewe ndio unataka visa vyetu anza kutupa chako kwanza SAWA
 
Back
Top Bottom