Yule mtoto alikua kwanza ni wale wa kuvaa majuba na niqabu..
Nikamshawishi shawishi atoke chuo aje hom kupika.
Nikamwambia nipo na kaka tu akawa anaogopa ogopa ila akaja..
Mida anayofika ilikua jioni na mi nikamwambia njo utalala weeeh ilikua changamoto ila nilimwambia hutolala na mimi utalala chumba chako..
Akakubali akachukua boda chap akatinga pale, weee usiku huo kwanza akavua yale manguo nguo yake.. mtoto alikua mashaallah alafu mweupeee peee...
Sasa mda wa kulala umefika mi nikatangulia maghettoni mapema kabisa. Sasa yeye mda huo akaanza kuniuliza kuwa anataka kulala vipi ni wapi..?
Nikamwambia njoo huku nilipo. Mda huo anakuja mimi nilikua nipo bize na ramani zangu..
Yeye akajitupa ananiambia mimi nataka kulala tunafanyaje sasa..
Nikamwambia wee lala mi nina kazi zangu hapa namalizia.
Oooh anaanza kulalamika ety mara nataka private bana sijui hili mara lile..
Basi nikasema we lala nikimaliza kazi natoka.. akakubali nikazima taa nikawasha ile ya mwanga hafifu nikajifanya nipo bize...
Sasa nikaleta utoto wa kutaka kujifunika na yeye aiseeeee wakuu aligoma kwanza alisema nitaenda kulala sebuleni au wewe ondoka hapa..
Wakuu nililazimisha sana lakini wapi an alikua kawaka mno.
Nikamwambia maneno ya kiutu uzima sasa.. so ulikuja hapa kujichoresha au.... Niliwaka na mimi mpaka mtoto akapoa...
Ila ile siku wakuu sikufanya kitu mi huwa naishiwa nguvu mapema mtu akisema sitaki..
Bora angesema SIJI #yupo humu humu