Ukiona Ivo ushaa zeeka mawazo ni mengimathalani,
kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa,
mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa tendo, halafu hakuna kinachowezekana, moja haikai, mbili haikai, na huelewi wala hujui sababu ni nini, hamu na mshawasha wa kugegedana umekata....
uliwahi kupitia dhahama hii?ulifanyaje,
na ulitokaje kwenye mazingira hayo ya fedheha kisaikolojia?π
Tunza afya yako, epuka Nyeto..
NakaziaAcha nyeto
Tafuta hela
Fanya mazoezi
Kula vizuri
Usipanie mechi
ππππSasa wakuu nashangaa watu mnavyo kimbilia kuwaza nyeto inaweza kuwa sababu ila mpaka sasa kwenye research bado ipo 50/50 wengine wanaprove wrong wengine sawa ila yote ya yote
Tujitaidi kutuliza mawazo yetu maana hii hii nyeto inawaokoa vijana na gono sugu hivyo chukueni taadhari sana kipindi mnajipimia ili musiharibu wakati wa mechi
Nje ya mada mimi bikira wa kiume so sina experience yeyote na niliyosema π€£π€£π€£π€£
Sent using my iphone21 pro max
Mkuu,mathalani,
kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa,
mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa tendo, halafu hakuna kinachowezekana, moja haikai, mbili haikai, na huelewi wala hujui sababu ni nini, hamu na mshawasha wa kugegedana umekata....
uliwahi kupitia dhahama hii?ulifanyaje,
na ulitokaje kwenye mazingira hayo ya fedheha kisaikolojia?π
Tunza afya yako, epuka Nyeto..
Visa vya kimasihara vimeisha?Mkuu,
Nimekuja mbio mbio nikajua ntakutana na kisa chako japo kimoja mkuuπ
Kumbe wewe ndio unataka visa vyetu anza kutupa chako kwanza SAWA
Zamani tulikuwa tunaambiwa mwanamke akiendeesha baisikeli bikra inaweza ondoka ila yangu iliondoka na sabuni ikateleza ileeeeti kabikra ka kiume kanajua hadi nyetro dah π
Sipo huko mkuu nilidhani alipania mechi then kuingia ndani jogoo hapandi mtungi..Visa vya kimasihara vimeisha?
Kifupi unahamu ya kujua mwanaume mwenzio alianzaje kujila mwenyewe
Halafu nimekumbuka vp ulipata demu?Zamani tulikuwa tunaambiwa mwanamke akiendeesha baisikeli bikra inaweza ondoka ila yangu iliondoka na sabuni ikateleza ileee