Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

IMG_20240225_164849_111.jpg

Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito.

Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine.

Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito?

Zitaje upate undani wake
 
Je,ukishiriki tendo na mama mjamzito unakosesha uhai kiumbe alichokibeba?
 
Je,ukishiriki tendo na mama mjamzito unakosesha uhai kiumbe alichokibeba?
Piga kaka,tengeneza njia,labda kama kuna maelekezo ya daktari,ila kama mama hana shida we banjuka,wengine tukibeba mimba tu hamu zinakuwa juu sana mpaka kujifungua.Sasa hapo inakuwaje?
 
Kuna dhana nimeisikia inasema kwamba wanawake wavivu ndiyo wenye nafasi kubwa sana ya kuzaa mapacha. Dhana hii ni ya kweli?
 
Ndugu yangu mmoja alipata ujauzito akaishi nao vizuri lakini kwa bahati MBAYA kwake ulikua n mimba ya kwanza hivyo hakuwa anacheki mara kwa mara kama mtoto akicheza.

Hivyo last time Kabla ya kujifungua alihisikia vibaya na akapelekwa kliniki lakini muda aliokuwa anajisikia vibaya kumbe mtoto aliokuwa tayari amepata tatizo tumboni alikosa virutubisho muhimu kwa AJILI yake hvyo ikapelekea mama kuzaa mtoto ambaye amekufa tayari.

Hivyo tunasikitika tulimpoteza mtoto mzuri kwa kosa la mama kuwa Hana uzoefu au ni uelewa juu ya ujauzito.

Hii pia iwafikie mabinti wenye mimba za kwanza wajue umuhimu wa kucheki afya ya mtoto mara kwa mara kwa wataalamu Kabla ya tatizo kutokea.
 
Back
Top Bottom