Umewahi kusikia nini kuhusu basi hizi?

Mmiliki anamuliki pia migodi huko kanda ya kati
 
Wanadai za Mwigulu..ila kama mnavyojua kampuni inaweza kuwa na basi nyingi kwa jina la mfanyabishara asiye maarufu..lakini kuna mafisadi humo wana za kwao kadhaa..ndio maisha yalivyo!
 
Ngoja niendelee kusoma comments labda ntaelewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…