Woooowwwwwww u make me laugh, how do you know these, so u know what i am telling her? mmmmhh GFM, oooohhh GodView attachment 19926
no more secret, let me run as fast as i can like Kanenisa Bekele, nirudi kule kwenye siasa,View attachment 19928
He is a good roll model kwa kweli. All black American ladies are talking about him.
mmhhh haya maneno matamu haya itatengeneza signature nzuri lolhahah don't worry, just love ur self and everything will be OK hahah LOL
slowly,.... we want you to get there safe and sound! Have a great weekend !!no more secret, let me run as fast as i can like Kanenisa Bekele, nirudi kule kwenye siasa,View attachment 19928
He is a good role model kwa kweli. All black America ladies are talking about him.
Nae hazeeki bwana hahah ...
Glad you loved it!mmhhh haya maneno matamu haya itatengeneza signature nzuri lol
"don't worry, just love ur self and everything will be OK":A S new::A S new:
Very good roll model....
mie nikienda kwenye video store nikiona tu sura yake lazima nichukue hiyo move...
na mpenda sana Morgan Freeman
lakini kuna ishu nasikia sikia..
hopefull is not true.... coz i realy like him tu
Glad you loved it!
Move yake ya kwanza kuiona ilikuwa ila ya Lean on Me, and I love every other movie that he played
Nae ameshakula chumvi ya kutosha.............hahah
Nsijenikukuulia kaka yako hapo naona kaondoka kwa hasira hahai loved it
cheers..
sasa weekend hii ni mimi na weye tu kwenye JF..
au unataka tuende zetu hapo AAA arusha lol
Lazima mississippi masala iwepo kwenye list, JohnQ, Man on Fire, Training day, movie zake zote ziko poammmhhhh hata mie hiyo naipenda sana ...
mie movie yake nayoipenda ni inside man
na Daje Vu hiyo ya ya Daje Vu niliangalia mara tatu ndo nikaelewa hahahah lol
yahh hazeeki mwili na roho kwa kweli..
anapendeza kwa kila afanyacho mbele ya macho yetu...
Nsijenikukuulia kaka yako hapo naona kaondoka kwa hasira haha
arusha nimetoka less than two weeks ago, iko vilevile
yameongezeka magari na hoteli basi.
AAA wahuni wengi mle, hamna sehemu classy kidogo...
hebu sema kwingine hahah
Lazima mississippi masala iwepo kwenye list, JohnQ, Man on Fire, Training day, movie zake zote ziko poa
Camp kwema, I am hoping pale 77 watapajenga na kuweka eneo la disco. Ila nasikiahhahahahha lol
MMU imemzidia lol
mmhh ahay twende MASAI CAMP .....
au wa onaje??
Camp kwema, I am hoping pale 77 watapajenga na kuweka eneo la disco. Ila nasikia
kuna kiwanja kingine maeneo ya njiro sijawahi kukiona nasikia ni kizuri
haya naona kwako ndio kumekuchwa, sio huku njio kiza kimeingia, nikutakie mchana mwema na weekend njema :A S-rose:
mmmhhh 77 na sikia kumekufa sasa hivi..
niliendaga hapo mara moja tu kumwangalia hadija kopper lol
mmhhhhh mie huko kwa Njoro bado sijapata taarifa..
ahhh bwana twende "shooters" hahaha lol au "Grampy"
hizo ni kama unataka kujirusha ile mbaya...
hizo ni za huku antarctic hahhaah lol
lakini ka unataka usiku mtulivu wa poker game na mambo ya ku relax tu
twende zet "sky tower" hahaha lol