Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

umepatia kweli, enzi hizo za madona huu ulikuwa moto and she is not getting
older either..............hahah

mmmhhh katika wanawake walo kataa kuzeeka dunianai Madona ni number moja..
mwaka 2010 na miaka 52 lol
 
Mmh enzi gani hizo ilikua mbeke?
ni stori ndefu enzi hizo tunasoma old moshi, w/end ukiingia mitaa unarudi swafi. si unajua hii pombe sio
ya uchoyo unapuliza unampa mwenzio. Basi wenyewe kule mgombani walikuwa wanaliita mbeke
hahah
 
hahahah lol
kumbe na we unajua kiluga lol
na we ni wakipande hiki cha Manyara lol??
Nikuwa na densi moja hapo lakini alinikiaga bana.
But she taught me a few words like
ako, desi, laway, khwante, naamis hahah, I have lost most of them now hahah
may be you can take over from there hahah LOL
 
yeah i like her..
naogopa kinyume cha haya maneno lol "wanasema, 50s ndio new 20s,"
hahah lol
hahah don't worry, just love ur self and everything will be OK hahah LOL
 
Nikuwa na densi moja hapo lakini alinikiaga bana.
But she taught me a few words like
ako, desi, laway, khwante, naamis hahah, I have lost most of them now hahah
may be you can take over from there hahah LOL

Woooowwwwwww u make me laugh, how do you know these, so u know what i am telling her? mmmmhh GFM, oooohhh GodView attachment 19926
 
Nikuwa na densi moja hapo lakini alinikiaga bana.
But she taught me a few words like
ako, desi, laway, khwante, naamis hahah, I have lost most of them now hahah
may be you can take over from there hahah LOL

hahahahhaah lol
mmmhh we mwanafunzi mzuri sana ...lol
haya mie niko tayari ingawa ntachemsha mara nyingi lol
 
hahahahhaah lol
mmmhh we mwanafunzi mzuri sana ...lol
haya mie niko tayari ingawa ntachemsha mara nyingi lol
but why? hujakulia nyumbani au ndio ile ya kusahau lugha ukiwa nje hahah
not serious ..............hahah
 
Back
Top Bottom