Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

hahahahhaha lol
vitu muhimu sana kwenye hizi signature..
mie nazisomaga kwanza kabla hata ya poster hahahah lol

mie hata hii nimeipenda sana.. kana ka uneno fulani hivi kataaaaamuuu.
hahahah lol

If I am not for myself, who will be for me? And if I am only for myself, what am I? And if not now -- when?
Now that I am reading, naona na kuna mafundisho mengi tu...........thank you for sharing maana
mie nisingeazisoma hahah
 
Now that I am reading, naona na kuna mafundisho mengi tu...........thank you for sharing maana
mie nisingeazisoma hahah

hahahahah lol
hamna neno

.Maxence Melo--Sharing is Caring
 
Now that I am reading, naona na kuna mafundisho mengi tu...........thank you for sharing maana
mie nisingeazisoma hahah

yaani hilo la kwenye avatar yako ninavyo liheshimu unavyoandika ka nahisi ni lenyewe...... shikamoo!
 
Naona wewe katika kuandika thesis yako hutapata shida, u give credit where its due! hongera

hahahahaah lol asante mkuu...

kitu kikupendeza sema
kikuchukiza sema lakini chunga mananeo hahahhahah lol
silence=Death :tape2:
hahahahlol
 
Naona umerudi kwa kasi ile ile na nguvu ile ile!Wanajamii toeni mchango tumtoe AD out!

hahahahah lol
hhaahahha lol huwezi ng'ooo
mie leo nacheza na signature tu
hahahhahah lol

Preta- -Life is too short to waste time hating anyone.........
 
Naona umerudi kwa kasi ile ile na nguvu ile ile!Wanajamii toeni mchango tumtoe AD out!
Worry not LM she is goin out for a treat to nite!! hahah ila on a serious note, me hizi signature sikuwa nazisoma bibie kanifundisha kita hapa. Ngoja nimgongee thanks hahah
 
hahahahah lol
hhaahahha lol huwezi ng'ooo
mie leo nacheza na signature tu
hahahhahah lol

Preta- -Life is too short to waste time hating anyone.........
Kabisa unakataa ofa ya nyamaz na vinywajiz?Ndo zawadi yakuturushia masignecha MMU live!
 
Worry not LM she is goin out for a treat to nite!! hahah ila on a serious note, me hizi signature sikuwa nazisoma bibie kanifundisha kita hapa. Ngoja nimgongee thanks hahah

mmmhhhh i like that..
:busu
 
Kabisa unakataa ofa ya nyamaz na vinywajiz?Ndo zawadi yakuturushia masignecha MMU live!


mmmmhhh bibie
mie hapa sitoi mguu..
nataka niitunze hiii amani na upendo uliopo lol
siunaona nilienda tu uwani nimerudi naambiwa toa ya fulani weka yangu
ni bora kuliko ya fulani..
hahahah lol

niwekee bia kwenye temosi
na nyama kwenye plastic bagi
tuma kwa address hii
angalia usije mpa mtu anwani yangu
much love AD haahahha

AFRO MWANA WA DENZI
P.O BOX 911
SWEET HOME
UNIVERSAL
 
hahah hiyo address hapo juu imetulia kweli hahah LOL
 
Back
Top Bottom