afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,151
- 9,272
Hata yangu inatisha bwana ndio maana nikaiweka hasa kwa wale wapenda siasa
haya mkuu
kwa kweli nzuri sana...
ka vile "WOSIA WA BABA WA TAIFA" kinyume nyume lakini lol
Hata yangu inatisha bwana ndio maana nikaiweka hasa kwa wale wapenda siasa
mmmmhhhh nilidhani ume dedicate hiyo kwangu hahha lol
sasa umeitafsiri nimeipenda zaidi asante sana...
Hii ni ya kuogopa majukumu
Nilizodedicate zote mama nilifikiri hukuziona maana hata PM sikupata ndio nikaona nijirudie kwa mafisadi.
hahahahah lol
nimeziona zote
zilikuwa zinanichoma sana
ndo maana nikapiga kimya hahahhhhahhhah lol
nzi anashangaa kupenda vinavyo nuka 😛oa
Sawa mama nitakuPM dedication ya leo basi nikutakie usiku mwema.....
- Kaizer
- Gurtu
- hashycool+
- Jaluo_Nyeupe
- Mawazo1109
- Paka Mweusi+
- Saikosisi
- Puza
- Zakumi
- tracy
- Gosheni
- Nyadhiwa
- mimi82
- PayGod
wakubwa SHIKAMOONI, wadogo MARAHABA,
umri wangu MAMBO VIPI....
Manaoingia KARIBUNI na
manotoka KARIBUNI TENA...
Nyote mnakaribishwa na ninawatakia weekend njema..:A S new:
AD
haaa kumbe umeniona apo juuu:
kumbe AD unapenda kusoma signature za watu humu kama mm? Mi siwezi kuziorodhesha hapa lkn najifunza mambo mengi naposoma signature za watu humu.
nzi anashangaa kupenda vinavyo nuka 😛oa
hahahah lol
asante sana PAKA
umeona HashC
anavyokufagilia???
The Following 2 Users Say Thank You to hashycool For This Useful Post:
afrodenzi (Today), Paka Mweusi (Today)
Sawa mama nitakuPM dedication ya leo basi nikutakie usiku mwema.....
hahahahah lol
niliona husemi kitu ikabidi nikuchokoze hahahha lol
AD mpenzi kumbe wewe mtu wa details? maana mie wala hizi signature some huwa sizionagi
Ngoja nianze ku-pay attention maana naweza kupoteza kibarua bila kujua ahahah LOL,
Habari za weekend?