Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Du naona nimechelewa mada ndio inaenda ukingoni nilikuwa bize kwa siku 3 hizi nikifuatilia madudu ya IGP na mwenzake wa Ikulu huko Geneva kupitia lile jukwaa lingine. Hongereni wote ambao signature zenu zimepata nafasi ya kuwa shortlisted
 
hata hii yangu jamani imesimama du au inawauma nyie wasema ovyo mmmhhhh;;
 
yangu pia imetulia sana kwa kweli unajua nimeisoma mara ningi naona inaweza kuwa namba wani kwa kweli kama kuina mtu anabisha aonyeshe ya kwake kama inasound
 
Hapa hata sikubali ina maana yangu hakuna aliyeiona au hakuna aliyeielewa?Kama hakuna aliyeielewa ngoja niitafsiri basi labda listi hapo juu itachakachuliwa."Nzi ni Mtanzania na vinavyonuka ni wale wanaokumbatia mafisadi,kwa hiyo hapo ni sawa na kusema mtanzania ananishangaza kwa kupenda(kuchagua) wanaokumbatia ufisadi.Jamani hapo sijaingia tu kwenye first eleven?
 
Hahahah....pole PM....usijaliwa utakuwepo kwenye second selection!!!
 
avatar17682_38.gif
nje ya mada sio siri mi laiki zis wani hia,au mnasemaje waungwana?:-*
 
Hata yangu inatisha bwana ndio maana nikaiweka hasa kwa wale wapenda siasa
 
Senki you vere machi AD for including my signature in your list.

Kuna jamaa aliweka ya kwake akafuta simkumbuki jina ila ilinipa kutafakari sana

Inasema hivi ...."Kama kuoa ni baada ya ndoa, kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa?"

hahahah lol
haina neno original list bado inajulikana ni ipi lol
mie hiyo hainitishi kwani Courage is the fear that has said its last prayer

hahahah lol
 
smiles -"...Everyday I remind myself that my inner and outer life are based on the labor of others...."
Rugas -AIDS awareness slogan: Try different positions with the same woman instead of same position with different women.
Mzee Mwanakijiji-
Nimesoma Zaburi ya 35 hadi nimetetemeka; sijui nikuambie usome au usisome; amua mwenyewe- MM

asante sana 1st lady1
hizo nzuri sana..tena sana
 
Du naona nimechelewa mada ndio inaenda ukingoni nilikuwa bize kwa siku 3 hizi nikifuatilia madudu ya IGP na mwenzake wa Ikulu huko Geneva kupitia lile jukwaa lingine. Hongereni wote ambao signature zenu zimepata nafasi ya kuwa shortlisted

hujachelewa kabisa mkuu
hii mada itaendelea mpaka za watu wote ziwa hapa
kariu sana..

pole na hiyo safari yako nzito
 
yangu pia imetulia sana kwa kweli unajua nimeisoma mara ningi naona inaweza kuwa namba wani kwa kweli kama kuina mtu anabisha aonyeshe ya kwake kama inasound

Wise men talk because they have something to say; fools, because they have to say something”

mmmmhhh kwa kweli imetulia sana..
 
Hapa hata sikubali ina maana yangu hakuna aliyeiona au hakuna aliyeielewa?Kama hakuna aliyeielewa ngoja niitafsiri basi labda listi hapo juu itachakachuliwa."Nzi ni Mtanzania na vinavyonuka ni wale wanaokumbatia mafisadi,kwa hiyo hapo ni sawa na kusema mtanzania ananishangaza kwa kupenda(kuchagua) wanaokumbatia ufisadi.Jamani hapo sijaingia tu kwenye first eleven?

mmmmhhhh nilidhani ume dedicate hiyo kwangu hahha lol
sasa umeitafsiri nimeipenda zaidi asante sana...
 
Back
Top Bottom