afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,151
- 9,272
there iz no failure except in no longer trying engineer smasher"
kwa kweli hii nzuri sana..
there iz no failure except in no longer trying engineer smasher"
asante ee mtoto mzuri ahahah lolNipo via mobile nakugonge hapa hapa Thanx. umeniweka bench ila najua unajua mi ni super sub. Ukitoa Masa unaweka Kimey
Yangu huipendi?? Inahubiri upendo....
mmmhh yako naipenda..
ila kwa vitendo zaid hahahah lol
Nipo dia hahaha c umeniweka no. 12 hiyo direct ni bench lol!
Tulia, bado uko kwenye banda la simu? basi chukua nambari 19
Jamani ina maana hakuna aliyependa hii ya kwangu! Nyie wabaya kama Said Mwema.
Toa ya asprin weka ya kwangu kwanza...
Jamani ina maana hakuna aliyependa hii ya kwangu! Nyie wabaya kama Said Mwema.
Ahsante sana AD,
Sasa ulikuwa unawaza nini na wakati huo unafanya nini hadi ukaja na hii kitu? Mhhhh kwa kweli hapo mjukuu wangu umenitisha.
Nawatakia nyote wk end njema. Naona mwaka tunausogeza taratibu,
Babu DC
Afro karibu counter ya juu bibie tuchakachue hii weekend bana! Naona The Finest anakutelekeza cku izi! Karibu bana! Its not "for a long jump"!lol
Hamna shida babu....
nilikuwa nasoma tu signature za watu
basi nikona tutoe appreciation zetu kwa ambao wanatembea hatua zaidi..
wako weengi sana na sijaweza wataja wote ndo maana nikaomba tusaidiane kuleta hizo signature
nyingine hapa na wao tuwashukuru...
nway na mie pia nakutakia weekend njeama kabisa
msalimie sana bibi...
Huyu digidigi anahitaji adhabu tu hawezi kutelekeza mrembo kama wewe asee! Ngoja nimwendee hewani aje hapa counter ya juu then tuyaongee tukiwa watatu! Jipodoe fasta.hahahahahah lol
mmmmhhhhh afadhali hata kuna ambaye anajua AD anahitaji company..
mie TF kaniacha mazima siku hizi .....
haya ngoja nijipodoe nakuja ...
Babu DC weekend njema karibu counter ya juu!Take care....Angalia usalama kwanza, sawa AD? Don't drink and drive/cycle...if necessary, remember your helmet!!!