Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Afroie....hebu nambie kukamata namba moja inamaanisha nimekukosha kuliko wengine au itifaki haizingatiwi? Babu amevimba mbichwa hapa!

yaani babu yangu we number moja kwenye familia
kwa hiyo heshma zako..
hahahah lol
 
mmmhhh afadhani hata umerudi mume wangu..
pole sana na safari..
twende tuka relax kwenye jakuzi
ngoja nilete wine..
mmmhh nataka kusikia kuhusu safari ...
kwa kweli nime kumiss sana kipenzi changu ....

Mhhhh!!!! I am cummin oopppsss sorry I am coming lol!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tufanye chat room kwa muda maana hatuna kabisa tangu mwaka uanze
 
ngoja babu yako akiona hii post ataleta ndevu zake hapa nitamkibiza

mmmhh
babau anafuraha sana kaona 2011 na wajukuu wapya wa kuwakagua..
mwache a enjoy maisha bwana ...
siku zenyewe zinasogea
hahahhaahh lol
 
nipe zaidi hizi kavasha hasa huyu rechie rou du usiseme
 
Sijui AD anatumia "text editor/word processor" ya namna gani? Maana yeye sentensi anzoandika huwa ni moja ya tatu ya "text editor/word processor"!
 
jamani jamani..... :love:

daaayyymmmnnn... sooo happy today!! i wish for a repeated 10th January 2011 for at least the coming 17 months

mosimosimosimosi... mosiii
 
Sijui AD anatumia "text editor/word processor" ya namna gani? Maana yeye sentensi anzoandika huwa ni moja ya tatu ya "text editor/word processor"!

sijakuelewa mmhh
jamani wajua na dhani bado niko holiday..
tafsiri ingekewa nzuri lol
 
jamani jamani..... :love:

daaayyymmmnnn... sooo happy today!! i wish for a repeated 10th January 2011 for at least the coming 17 months

mosimosimosimosi... mosiii
Mzee wa MEMKWA ............Surely your happiness is shown here daym

naona hadi umeweka kiluga hapo.......mosimosi
 
jamani jamani..... :love:

Daaayyymmmnnn... Sooo happy today!! I wish for a repeated 10th january 2011 for at least the coming 17 months

mosimosimosimosi... Mosiii

seen any madira somewhere huko??????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…